BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Ooh joanah ..sorry!![emoji17][emoji17]The feeling was awesome asee
Mda ungekuwa unarudi ningerudisha those times wallah
LMP [emoji24][emoji24][emoji24]
Elezea vizuri mkuuThe feeling was awesome asee
Mda ungekuwa unarudi ningerudisha those times wallah
LMP [emoji24][emoji24][emoji24]
Nielezee nini?Elezea vizuri mkuu
mkuu ivi ni kweli trey alisafisha bunduki yake kwa v.money ?Inawezekana lakini wengine wana unafiki.
Yaani wanaimba na huyu ila feelings zinaenda kwa mwingine.
Kama Vanessa Mdee kaimba na Jux halafu feelings kamdondoshea Trey Song mpaka akampa zigo.
Ni sawa tu mkuu ila gitaa lazima maneno yawatoke ndo inapendeza zaidiMkiwa mnapiga gitaa je?!
Elezea utamu ea wapenzi kupiga kinanda pamojaNielezee nini?
Aise ilikua amaizing and special i guess mkuuNakumbuka tulikuwa tunaimba All of me , This love-maua sama,
Looking for u-jux,
ETC
Sana tena, alafu Good thing ni kwamba tupo na hobbie zinazofanana, so tukikaa pamoja ni furaha tuAise ilikua amaizing and special i guess mkuu
So still mko pamojaSana tena, alafu Good thing ni kwamba tupo na hobbie zinazofanana, so tukikaa pamoja ni furaha tu
dah,mi ugangster unanponza sana,bahat mbaya napenda rap bibie anapenda 'kokoro' na mie kuimba siwez,nikianza tu nanyamazishwaSana tena, alafu Good thing ni kwamba tupo na hobbie zinazofanana, so tukikaa pamoja ni furaha tu
Ilikuwa wapi?Nielezee nini?