Tatizo hizi salamu ni mbaya kwa Chelsea tena Massa wangu!..Japo nampenda Messi ila hamna jinsi inabidi niwepo darajani kushabikia ze bluez..
Hii mechi naweza iangalia wapi online waheshimiwa? Si unajua tena wengine hatuna DSTV wala vioo vya kuweza kukamata masafa ya mbali. Kwa mwenye fununu, ni channel gani kwenye internet itaonesha/inaonesha mechi za La Liga na hasa huu mtanange wa leo atudokeze hapa jamvini!
BJ, unanikumbusha tangazo la Cocacola. yani unajifanya ze Blues ila ndani ya tshirt umepiga uzi wa Baca.
Shadow!
We acha tu, muhimu kufanya mbinu kama hii tena kama ni wapinzani.
Mpira umeisha, nimefurahia volleyball ya leo...Barca juu, Messi juu!!
Hahaha jamani nyie vipi hawa Madrido ni wabovu si walifungwa na Liverpool pia na sisi tukawachapa Liverpool? Kama mnakumbu kumbu Barca hajawahi ifunga Chelsea wakiwa 11...
Shadow!
We acha tu, muhimu kufanya mbinu kama hii tena kama ni wapinzani.
Mpira umeisha, nimefurahia volleyball ya leo...Barca juu, Messi juu!!
Masa juu umeasahau sweetie!
masanilo, tulishakunja jamvi. 6-2. Mazoezi ya leo yalikuwa mazuri sana. Bj any comment? Masanilo, msalimie guus. Mwambie, labda achezeshe formation ya 1-9-1
Masanilo, tulishakunja jamvi. 6-2. Mazoezi ya leo yalikuwa mazuri sana. BJ any comment? Masanilo, msalimie Guus. Mwambie, labda achezeshe formation ya 1-9-1
Kaduguda, thx mkuu. wewe timu gani hapa?
Sorry mkuu nilikuwa busy kuangalia huu mtanange. Maana leo mtu mzima kafundishwa A, E, I, O, U na Z juu yake. Mkuu mi timu yangu hiyo iliyoshinda leo!
Pole kwa ndugu zangu wa R. Madrid. Ila msilete ushabiki wa Simba na Yanga mkatugeuka next week tutakaposhuka na vijana wa The Blues!! Support yenu ni ya muhimu!!
Powa Kaduguda, mimi mbali mbali na vijana wa darajani.
Barca hawaziwezi timu za uingereza... ilishatolewa kamasi na man u na sasa wameisha kwa chelseaBarc noma hata Chels kazi wanayo ila sijafurahi yaani wanatuaibisha hivi hivi...