Ronaldo kalingana na marehemu mkongwe de stefanio kuwa ni mchezaji mwenye hatrick nyingi kwenye historia ya la liga, mpaka sasa ana hatrick 26. halla madrid. club nimekua nayo hii tangu enzi za akina rendondo, roberto carlos, salgado, fernando hiero, guti, karembeu, rud vanestrooy, raul gonzalez na wengine kibao aisee madrid huwa hawaniangushi hata wakifungwa huwa wanapambana kiume sio vitimu vya ajabu ajabu sijui arsenal nyambafu.
Honestly goli la 3, ronaldo kafunga kwa mkono. Ila Illara anaonesha matumaini, hope El classico ataanza na ataperform vyema..
So far so good.
halla madrid