Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,611
Poa kakaPole sana
Poa kakaPole sana
😂😂 ila we dogo bhana ni kituko kweliNgoja nifute namba af nijikaushe mpaka anitafute ase
😂😂😂 napenda nimkunje saba dahHyo Ni kifo Cha mende advanced
Af mimi sio dogo kama watu wanavyo nichukulia hapa ila twende tutafika 😂😂😂 ila we dogo bhana ni kituko kweli
Utafikiri kila mtu ni kijana wa form 6,Comment za humu bana [emoji38] [emoji38]
Poa nisha achaMwanaume acha kulia lia mzee
Kwa wote wanaoteseka na aina yako ya mapenzi ni madogo tu, tutafika mkuu😂😂Af mimi sio dogo kama watu wanavyo nichukulia hapa ila twende tutafika 😂
Seems like you don't want to overcome your feelings over her. Be independent on love affairs kwamba mwanamke akikupenda/akikujari nawe mjari. Akianza kuleta maringo nawe muoneshe maringo. Ringia uwanaume wako kijanaDah nilijaribu kumpotezea cha ajabu saa tano niapiga simu kumuomba msamaha au kaniloga
Ni dogo kwenye mapenzi ila sio umrKwa wote wanaoteseka na aina yako ya mapenzi ni madogo tu, tutafika mkuu😂😂
Value yourselfNgoja nifute namba af nijikaushe mpaka anitafute ase
Asante kakaSeems like you don't want to overcome your feelings over her. Be independent on love affairs kwamba mwanamke akikupenda/akikujari nawe mjari. Akianza kuleta maringo nawe muoneshe maringo. Ringia uwanaume wako kijana
Sasa unafuta namba alafu unakaa unamsikilizia 😂😂 futa tulia endelea na maisha. Kisicho riziki hakiliki mzeeNi dogo kwenye mapenzi ila sio umr
Aya kaka usiku mwema nahama chimboSasa unafuta namba alafu unakaa unamsikilizia 😂😂 futa tulia endelea na maisha. Kisicho riziki hakiliki mzee
Ila peopleValue yourself
If she doesn't show interest back, no problem. NEXT
Poa kwako pia mkuuAya kaka usiku mwema nahama chimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa ni baraka oeni jamani
Ndoa ni mtego msioe
Umenichekesha [emoji1787][emoji1787]
Mwanamume vimbaSeems like you don't want to overcome your feelings over her. Be independent on love affairs kwamba mwanamke akikupenda/akikujari nawe mjari. Akianza kuleta maringo nawe muoneshe maringo. Ringia uwanaume wako kijana
Wanawake wana tabia ya kumtest mwanaume ili kuona kwa kadiri gani amcontrol.Ila people
Are differ
And weak