Kuifinyia Kwa ndani

Kuifinyia Kwa ndani

Unaanza kufeli mkuu unapelekeshwaje? Kumpenda mtu na kukupelekesha ni vitu viwili tofauti. Achana na huyo Ke kama anakupelekesha na hauwezi kubadilika maana utageuzwa toy uwe lizoba
Mwanaume ukishaona ke anakuletea maringo tu nawe mletee malingo vilevile hata Kama unamkubali. Being nice to her all the time is ain't an insurance you have won her love completely.
 
Mwanaume ukishaona ke anakuletea maringo tu nawe mletee malingo vilevile hata Kama unamkubali. Being nice to her all the time is ain't an insurance you have won her love completely.
Kweli kabisa, ke akiona unakua nice sana anakuona kama mwenzie vile. Na akishajua unampenda sana hujiwezi kwisha habari yako akiamua kukutesa atafanikiwa mno
 
Back
Top Bottom