Kuifanyia hivi jezi ya timu pinzani siyo udhalilishaji?

Mwaka huu tutaona mengi- Haji kisaikologia hayuko vizuri- bado ana sumu ya maumivu moyoni- lazima utafute pa kuitolea- baada ya kukosa sapoti ya wanachama- na mashabiki wa Simba- ili kutoa sumu moyoni - anafanya hivi ili kuwaumiza- amefukuzwa alikokuwa anakupenda sana- ameenda alikokuwa anakuchukia sana- imebidi ajilazimishe tu kuwa hapo- kwa sababu ya tumbo- kimwili Yuko Yanga- Ila moyoni ni Simba- Simba na Yanga- ni zaidi ya Imani- huwezi kuwa ndani ya Simba huku ww ni Yanga- hivyo hiyo- kwa Yanga- hata kwa nafasi ya ulinzi- labda wasikujue- ni suala la muda tu Haji hawezi kudumu Yanga.
 
Yuko kwa Denial,ana depression kubwa sana.Anajaribu kuizuia kwa nguvu zote lakini bahati mbaya sana inamtafuna haswa.Ipo siku maji yatazidi unga atakuja kufanya jambo la kushangaza.
 
Mijino michafuuuu kama anakula mavi
IMG-20210826-WA0022.jpg
 
uyo jamaa si mnaona ni mgonjwa wa ngozi mnazani na akili zake zitakuwa sawa kweli
 
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa Simba kwa kutomjibu huyu jamaa. Endeleeni tu na moyo huo huo wa kutomjibu huyo jamaa nyie chapeni kazi msije kupoteza "focus" yenu. Na mashabiki wa Simba kuweni wavumilivu tu kwa kipindi hiki jamaa anavyowatukana na kuwakera kwani wenzenu wa Yanga walimvumilia sana kwa zaidi ya miaka mitano.

Itafika siku isiyo na jina huyo jamaa ataondoka Yanga kwa aibu kubwa tena na makofi watampiga. Kwa watu wanaozijua Simba na Yanga kwa undani wanaelewa kabisa hizi timu mojawapo ikipoteza kwa mwenzake hata kama matokeo ni ya kawaida huwa zinatafuta sababu. Kwa hiyo huyu jamaa ambaye eti alizimia mara tatu lakini ajabu hakufa siku Simba anapigwa goli nne na Kaizer kule Afrika Kusini amuombe tu Mungu wake matokeo ya "derby" yawe upande wake vinginevyo hata yeye mwenyewe anajua mashabiki wa Yanga watamfanya nini.
 
Ndio akili za mashabiki wa simba sio wavumilivu. Utoto mwingi. Ona mmeanza kumtukana mtu ulemavu wake ambao hakuuomba. Yanga wavumilivu sana hukuona matusi kama hayo,pamoja na kero zote alizokuwa anawafanyia Yanga,hawakuweza kumtukana kwa namna yenu. Akiongeza kidogo mtajinyonga nyie kenge
 
Kwenye huu uzi ndio utajua utofauti wa mashabiki wa simba na Yanga. Mashabiki wa Yanga akili kubwa,wavumilivu sana,wanajielewa. Ona mashabiki wa mikia sindano za Manara za siku 3 tu wameshaanza kumtukana mtu ulemavu wake wa kuzaliwa ambao hakuuomba. Siku zote alivyokuwa simba hamkuona kwamba yuko hivyo?. Wakati anawakera Yanga hawakuwahi kumtukana hayo majina. Simba vichaa wengi,watoto wengi,wajinga wengi
 
Heshima yako mkuu.
Kuna watu hawafahamu mpira ni burudani.
Utani ni jambo la kawaida kufurahisha jukwaa.
Na sio kufikia hatua ya kutukana matusi ya ndani.
Mpira ni burudani .
 
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea.

*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa

*Vs Kitenge: Mambo yao tetesi ya waandishi wakakwaruzana lopolopo likadai lina siri za kitenge na mwanaume fulani huko USA na pia likasema kitenge aliangusha hirizi huko radio one

*Vs jerry Muro: Huyu mtu alimpasua haswahaswa simba ilikaa 5 years hakuna kombe , nashangaa huu uwezo wake wa kuuleta makombe aliushindwaje kipindi hiki cha Jerry muro aliyekuwa na back up ya manji na ile team ya kina kamusoko, mwishow a siku alikumbushwa tu msaaada wa kina Muro kumtibia macho akapigwa kelbu za kutosha na kuambiwa kama vipi arudi kufundish madrasa, akaanza kulialia kwa waislamu kwamba wamedhalilishwa na mkristo

*Vs mwakalebela:makamu wa yanga alilalamika sana kuhusu lopolopo kuweka maneno ya VISIT KIDIMBWI kwenye jezi yao alichoambuliwa ni kutishwa zaidi na kuitwa KILO 800

*VS waandishi wote:HAWA WALIITWA TAKATAKA lakini huwa hat hawajali hawa jamaa bahasha za khaki huwa zinawatoa utu wao kabisa

View attachment 1909505
Nionyeshe jina na logo ya hiyo timu ili tukubali unachosema.
 
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa Simba kwa kutomjibu huyu jamaa. Endeleeni tu na moyo huo huo wa kutomjibu huyo jamaa nyie chapeni kazi msije kupoteza "focus" yenu. Na mashabiki wa Simba kuweni wavumilivu tu kwa kipindi hiki jamaa anavyowatukana na kuwakera kwani wenzenu wa Yanga walimvumilia sana kwa zaidi ya miaka mitano.

Itafika siku isiyo na jina huyo jamaa ataondoka Yanga kwa aibu kubwa tena na makofi watampiga. Kwa watu wanaozijua Simba na Yanga kwa undani wanaelewa kabisa hizi timu mojawapo ikipoteza kwa mwenzake hata kama matokeo ni ya kawaida huwa zinatafuta sababu. Kwa hiyo huyu jamaa ambaye eti alizimia mara tatu lakini ajabu hakufa siku Simba anapigwa goli nne na Kaizer kule Afrika Kusini amuombe tu Mungu wake matokeo ya "derby" yawe upande wake vinginevyo hata yeye mwenyewe anajua mashabiki wa Yanga watamfanya nini.
Na siku hiyo naamini kama Simba atashinda na goli linafungwa lazima Manara atapata muhaho fulani.
 
Ndio akili za mashabiki wa simba sio wavumilivu. Utoto mwingi. Ona mmeanza kumtukana mtu ulemavu wake ambao hakuuomba. Yanga wavumilivu sana hukuona matusi kama hayo,pamoja na kero zote alizokuwa anawafanyia Yanga,hawakuweza kumtukana kwa namna yenu. Akiongeza kidogo mtajinyonga nyie kenge

kwa hyo sio mgonjwa wa ngozi tunamsingizia
 
Back
Top Bottom