Kuifanyia hivi jezi ya timu pinzani siyo udhalilishaji?

Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea

*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa

*Vs Kitenge:mambo yao tetesi ya waandishi wakakwaruzana lopolopo likadai lina siri za kitenge na mwanaume fulani huko USA na pia likasema kitenge aliangusha hirizi huko radio one

*Vs jerry Muro: Huyu mtu alimpasua haswahaswa simba ilikaa 5 years hakuna kombe , nashangaa huu uwezo wake wa kuuleta makombe aliushindwaje kipindi hiki cha Jerry muro aliyekuwa na back up ya manji na ile team ya kina kamusoko, mwishow a siku alikumbushwa tu msaaada wa kina Muro kumtibia macho akapigwa kelbu za kutosha na kuambiwa kama vipi arudi kufundish madrasa, akaanza kulialia kwa waislamu kwamba wamedhalilishwa na mkristo

*Vs mwakalebela:makamu wa yanga alilalamika sana kuhusu lopolopo kuweka maneno ya VISIT KIDIMBWI kwenye jezi yao alichoambuliwa ni kutishwa zaidi na kuitwa KILO 800

*VS waandishi wote:HAWA WALIITWA TAKATAKA lakini huwa hat hawajali hawa jamaa bahasha za khaki huwa zinawatoa utu wao kabisa

View attachment 1909505
Hii ni jersey isiyo na team hapa jamaa kaplay safe...huwez mshtak popote ila ujumbe umefika
 
Kunywa maji we koroo...! Kwa manara utajinyonga. Kumbe mashabiki wa Yanga wana kifua ...! Mlikuwa mnafuarahia imewageukia mmeanza kulia lia. Kenge nyie.

Wenzenu sisi ni wavumilivu sio uvumilivu tu kujitambua pia. Timu yenu wengi majuha kama wewe. Ona jina ulilomwita,hatukuwahi kumwita hivyo akiwa huko
 
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea

*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa

*Vs Kitenge:mambo yao tetesi ya waandishi wakakwaruzana lopolopo likadai lina siri za kitenge na mwanaume fulani huko USA na pia likasema kitenge aliangusha hirizi huko radio one

*Vs jerry Muro: Huyu mtu alimpasua haswahaswa simba ilikaa 5 years hakuna kombe , nashangaa huu uwezo wake wa kuuleta makombe aliushindwaje kipindi hiki cha Jerry muro aliyekuwa na back up ya manji na ile team ya kina kamusoko, mwishow a siku alikumbushwa tu msaaada wa kina Muro kumtibia macho akapigwa kelbu za kutosha na kuambiwa kama vipi arudi kufundish madrasa, akaanza kulialia kwa waislamu kwamba wamedhalilishwa na mkristo

*Vs mwakalebela:makamu wa yanga alilalamika sana kuhusu lopolopo kuweka maneno ya VISIT KIDIMBWI kwenye jezi yao alichoambuliwa ni kutishwa zaidi na kuitwa KILO 800

*VS waandishi wote:HAWA WALIITWA TAKATAKA lakini huwa hat hawajali hawa jamaa bahasha za khaki huwa zinawatoa utu wao kabisa

View attachment 1909505
Mtoto wa kikopo huyo

Hana Akili hata moja

Ni kumdharau tu
 
Mimi ninachoomba tu viongozi wa Simba wasije mjibu huyu jamaa wa kuitwa manara najua na yeye anataman Sana ajibiwe lakin kukaa kimya ni silaha moja matata Sana ya kummaliza jumla jumla ,

Huyu jamaa ni mswahil hivyo kujibizana nae lazima atoke na ushindi ,lakin viongoz wasimba naamin Wana mikakat mizur Sana ingawa Hans pope sio mvumilivu kiivo lain nae wamkalishe chini asimzungumzie hata siku moja .

Manara atakuwa anajaribu kuchokoza kila siku ili ajibiwe tu ,sasa dawa ni kumkalia kimya hata angetukana vipi ni kumpotezea itafika muda wadau wa soka watamchoka na kumtupilia mbal na huo ndio utakuwa mwisho wake kwenye soccer
 
KOLO huu ni uzi wa ngapi
Kumbe unahesabu???usilielie tu kwa mODS subiri dawa iiingieeeee

MINJINO YA NJANONJANO, linunulieni hata dawa ya meno basi hili albino

zeruzeru la dunia.jpeg
 
Back
Top Bottom