Kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi

Kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi

Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi.

Hemu jichunguzeni kuna watu ambao umefanya nao tu mapenzi na kila kitu kinaanza kuharibika kiuchumi nukhsi na ukosefu wa bahati mpaka pesa ya kula inakua ngumu ujue tayar kuna mtu ameiiba nyota yako baada ya kufanya mapenzi na wewe.

Wapo ambao wakifanya mapenzi na wewe anaiiba kabisa nyota hio na kuhama toka kwako.

Ila kuna wengine wahawezi kuiiba kwa kuihamisha bali hukutumia kusafishia nyota yao hivyo anakua anataka kuonana na wewe kimapenzi mara kwa mara.

Tahadhari hasa kwa wale wanaopenda miseleleko ya kuhongwa na kununua mapenzi mtaishia pabaya.

Nimekutana na kesi nyingi anakwambia mimi sheikh mamabo yangu yalikua mazuri ila sasa hayaendinkabisa nakosa mpaka hela ya kula ukimchunguza unakuta amechotwa nyota.
Nyota ni nini?
 
Haya sisi ni binaadam umebanjuka huko nyota ikapitq vile, ss ntaorudishaje ndiyo muhimu sana hilo darasa.
 
Nimekutana na kesi nyingi anakwambia mimi sheikh mamabo yangu yalikua mazuri ila sasa hayaendinkabisa nakosa mpaka hela ya kula ukimchunguza unakuta amechotwa nyota.
Duuuh hii ndio inakuaje ebu tupe elimu zaidi maana hujafunguka hio nyota ndio nini na inachotwa kutoka kwenye nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom