Kuibiwa pesa ktk M-PESA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuibiwa pesa ktk M-PESA

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Garmii, Apr 5, 2011.

 1. Garmii

  Garmii Senior Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo jf,kuna tetesi nimeziskia mahali jamaa analalamika ameibiwa pesa zake zilizoko ktk acount ya m-pesa,je ni kwel huu mchezo upo?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Katika mazingira yepi, mwaga full story.....
   
 3. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuibiwa kupo kama utakua unatoa ovyo password yako kwa watu
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmh! Wale wanakagua kitambulisho, kuna ishu ya password. Sijui yeye vimekuwaje.
   
 5. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itabidi akumbuke ni nani amempa kutumia simu yake ikiwa na sim card yake au kamchezea akachomoa sim card na kuitumia. Hii ni zaidi ya kuianika password. Au sivyo naungana na watu wanao doubt kuibiwa hela MPESA hivi hivi kirahisi. Alternatively, iwe ni wafanya kazi wa Voda wenyewe kama mitambo inawaruhusu.

  Tetesi kama hizi ndizo ziliwafanya vijana wanaotaka kurudia mitihani NECTA mwaka huu kutokubali kutumia MPESA kulipa ada ya kufanya mitihani. Wote walilipia Posta. Vivyo hivyo Bodi ya Mikopo nayo imeweka utaratibu wa vijana kulipa kupitia MPESA, ZAP, au TIGO PESA badala ya vijana kununua card CRDB ilivyokuwa kwa TCU. Wengi wakifikia hatua hiyo wanaingia mitini ingawaje njia hizi pia zinafanya vizuri. Nimeshuhudia MPESA ikifanya vizuri tu kwa Bodi ya Mikopo. Publicity au Uvumishaji mkubwa unahitajika kuwashawishi vijana wazikubali njia hizi. Kazi kwenu HESLB na NECTA
   
 6. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kuibiwa kupo coz maagent wengne huwa hawazingatii vitambulisho na hata ukimpa kitambulisho haangalii picha anaangalia ID namba tu.
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  MPesa inatumia SIM card na PIN kama id wakati wa kutuma hivyo kuibiwa inabidi ugawe sim na pin.
   
Loading...