Kuhusu wasiojaza form ya mkataba wa HESLB

Schoolbook

Member
Aug 31, 2011
27
5
IN BOARD CONTRACT PROBLEM

I would like to ask for the information from board concerning student with In board contract problem, is there any update concerning the matter? Thanks!!!
 
leo nilifungua web yao mida ya saa sita hivi,nikaona new loan allocation for first year students ambao hawakupata mkopo maeneo ya ale kwenye results allocation tena ilikuwa mwanzo sasa baada ya ku click kujua hiyo list nikambiwa error 404 so nikajua kuna data bado wa feed so wadogo zetu watapata mkopo tu hilo sina shaka kwani nimeona na nimesoma kwa macho yangu.,so kuna batch nyingine
 
Itakuwa vyema km wataallocate aise maana hapa akili inanichemka ishu ya mdogo wangu kukosa mkopo.
 
Mh!Ya kweli hayo mkuu?
 
Mh!Ya kweli hayo mkuu?

yap!mkuu nimefungua mida ya mchana saa sita,sasa nilipo click ili kucheki ikaandika error 404,ila walitoa new loan allocation for 1yr ambao hawakupata mkopo,na maelezo kadhaa.mkuu sidanganyi.,kwani mi dogo kachaguliwa UD Kakosa mkopo.muda si mrefu watatoa
 
Itakuwa vyema km wataallocate aise maana hapa akili inanichemka ishu ya mdogo wangu kukosa mkopo.

hata mimi mkuu dogo kakosa nilivoona to hiyo allocation nikajawa na furaha ghafla..uwe unacheki web ya heslb,nina hakika watatoa list nyingne kwani nimeona kwa macho yangu.
 
Dah inabd ksho asubuhi kabla cjaanza kufanya kazi za mkaburu nicheki web ya bodi.kila nikifikiria hii ishu mwili unanyong'onyea kbc. Shukran sn kwa updates mkuu.
 
Maana hapa dogo hata mimi chuo hajaripoti,vichwa vinatuuma!But nikiifungua sasa hivi naona hamna jipya kwenye web yao heslb!
 
hizo habari zinanenepesha mifupa...ingawaje hata mm nimecheck kwenye bodi cjaona changez zozote.Ila ngoja niamini tu coz one day yes.
 
Back
Top Bottom