unknown value
Member
- Sep 8, 2017
- 12
- 5
Habari wakuu.naomba mchango wa mtazamo juu ya swala la lisu kushambuliwa kwa hi kuliangalia ili swala bila kuweka siasa au mapenzi binafsi.mimi binafsi kwa uwelewa wangu shambulio hli limefanywa na watu ambao wamekurupuka.hvyo basi hawajamaa awana uzoefu na walicho kusudia kukifanya.nipo tofauti na wale wanao iyusisha tiss.kwa maana hawa jamaa ni smart na ni watu ambao wanafikilia na kufanya mambo kwa kiwango cha halo ya juu.