Kuhusu wachaga hasa vijana wa kiume

Kuhusu wachaga hasa vijana wa kiume

Kusema kweli ulevi umeharibu sana vijana wa kichaga. Kaskazini imepoteza heshima yake sababu ya ulevi. Watu wanalewa mapema tu asubuhi hela atatafuta saa ngapi? Pombe hata kama unainywa siyo kitu cha kujitangaza kwa majivuno.
 
Kule rombo wanaume wanasaidiwa kazi na wakenya kuwakaza wanawake maana wanaume pombe wao, wao na pombe
 
Wachaga walikuwa wanavuma sana kwasababu jamii nyingi zililala kwahiyo wakiamini ni wachaga pekeyao ndio wanaweza biashara ila sasa mambo yamebadilika
 
Wachaga walikuwa wanavuma sana kwasababu jamii nyingi zililala kwahiyo wakiamini ni wachaga pekeyao ndio wanaweza biashara ila sasa mambo yamebadilika
Wachaga tuna tisha mpaka sasa hivi
 
Back
Top Bottom