Chek profile yako now alafu tuambie changes gan unaona ukiview selection za viu ulivyochagua
Nimeangalia profile mdogo wangu nimeona kupungua kwa remaining capacity ya baadhi ya faculty.
Zaidi ya hilo hakuna jipya
Kuna makamanda hapa wawili priority zao za baadhi ya vyuo zimepungua mpaka -1 na -3 hao wengine zmeenda zkakwania 0
Ya huyo kijana zmepungua mpaka ngapi, na pia kama kuna yenye single digit kuanzia 1-9
Izo Alamaa Zinakuwa Na Maana Gani Mkuu.. Au Ndo Dalili Za Kukosa Chuo.. Tusaidiane Kudadavua Hizo Alama Jamani.. Mimi SizielewiKuna makamanda hapa wawili priority zao za baadhi ya vyuo zimepungua mpaka -1 na -3 hao wengine zmeenda zkakwania 0
Ya huyo kijana zmepungua mpaka ngapi, na pia kama kuna yenye single digit kuanzia 1-9
"Tujurishane"=tujuulishane
MBNA me inanambia page not found?
dah, mi bado inanambia kua bado shughuli iko kwenye process? kwan nyie profile zenu znasemaje wadau?
Wakuu Kwangu Naona Data Base Error... Inamaana Gani..