josaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 389
- 116
Round ipi umepata chuo?
Ya kwanza
Round ipi umepata chuo?
Mi chuo nimepata na profile yangu haijachange chochote
Umejuaje kama umepata chuo sasa?
Aisee me Nina ndugu kachagua vyuo vinne vitatu priority ni 0 na kimoja priority ni 10. Hapa nneshindwa kuelewa msaada please
Nimeangalia kwenye majina ya vyuo vilivyotoa majina
asijali TCU bdo wanafanya selection ,huenda atachaguliwa ,kuweni na subira maana bdo wanafanya updation mda c mrf mambo yatakuwa tayar.Aisee me Nina ndugu kachagua vyuo vinne vitatu priority ni 0 na kimoja priority ni 10. Hapa nneshindwa kuelewa msaada please
Duuuh mambo haya!!
Priorty au Capacity?????
Ookey kumbe ww ni wa baba mdogo TCU ?
Niljua NACTE kaka mtu
Nimeomba nacte
Course gani ?? Yaan hapo ndo nachangnyikiwaaaaaaa kabsaaa
Nimepata civil ya must
Hongera mm profile hata haijabadilika wala kunitumia email kama wame attend my application ..basi nipo nasubiri pasipo na iman..
Achana na profile anagalia majina yanayotoka chuo husika
Course yangu first priority wamebaki 2 na capacity 10 ila huku kwenye majina sjaona jina langu UDSM na NIT sasa sjui UDOM..ARDHI NA MZUMBE
Labda utakuwa huko ndo umepat