josaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 389
- 116
Kwenye email yako hawajakutumia hata email ??
Sijatumiwa
Kwenye email yako hawajakutumia hata email ??
Sijatumiwa
Vp kweny CAS profile?? Hakuna mabadiliko??
Hakuna
Basi umenipa nguvu .tufahamiane bwana umepangwa wapi?? Inawezekana tukawa woote
Nimepangiwa must ya mbeya
Majina yako kwenye website yao ipi??
Web yao ya chuo
Oky thanks MKUU
mimi bnafs nimeandikiwa "you are provissional selected into one programe of your choice" kwa upeo wangu mdgo ni kwamba nimeshapita 2nd round ,sasa ukikuta umewekewa hyo negative au 0 ujue ktk hzo programe ulizochagua still hujawa na vigezo ,kwa kifupi umetemwa ,kwahyo wewe 3rd round inakuhusu.
asijali TCU bdo wanafanya selection ,huenda atachaguliwa ,kuweni na subira maana bdo wanafanya updation mda c mrf mambo yatakuwa tayar.
Jaman mzumbe bado hawajaachia majina kwa anayejua tafadhal
Nmegundua kuwa weng waliotemwa 1st round hawakujaza education..sasa lengo la government limetimia.Nimefanya ka utafiti kdgo
Nmegundua kuwa weng waliochaguliwa hii 2nd round Walijaza education
Nmegundua kuwa weng waliotemwa 1st round hawakujaza education..sasa lengo la government limetimia.