cleverT
Member
- Jun 2, 2015
- 41
- 1
uliomba kupitia wapi? nacte au tcu???[/QUO
nimeomba kupitia tcu
uliomba kupitia wapi? nacte au tcu???[/QUO
nimeomba kupitia tcu
ukiona hvyo kuna ki2 wanakiupdate pale ,yan wewe mlaji unataka ukaangalie mapish jikoni? ngoja chakula kiandaliwe then ule usikimbilie jikoni hapakuhusu maana ww ni mlaji cyo mpishi.Wakuu Kwangu Naona Data Base Error... Inamaana Gani..
Wakuu Kwangu Naona Data Base Error... Inamaana Gani..
mwenye uwelewa na kitu hicho atujulishe Ukweli me mwenyewe zimepungua kinoma na vyuo vingine vimekuwa remain capacity 0,-2,...wadau profile yangu jana ilsema A Database Error,, leo asubhi nachek naona zote zme display '0'remaining capacity,,,,inakuaje hapo nisaidieni wakuu
Mkimaliza kwenye pressure hiyo..jiandaeni na hili pia... The student with Index number 'S3637.0083.2015' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year.
Copyright © 2015 Higher Education students' Loan Board. All Rights Reserved.
Mi chuo nimepata na profile yangu haijachange chochote