duh,ngoja wanandoa waje wakujibu. couz me nikitaka kukopa / kukopwa pesa cna wa kumtaarifu wala kumuomba ruksa!
Kaizer mwanzo wa ndogo ni kubwa so pesa ni pesa anapaswa kuwa mkweli wi-fi wakeJudgement, apo kimtazamo tuko sawa helo ndogo ndogo haina sababu 'kumchoresha' mshkaji kwa wife au mpenzi wako mnamalizana kiume
apo kwen kumkopa shemeji inategemea pia na kanuni zinasemaje kati yako na shsmjio, kama zinakubali basi haina shida mnaazimana tu kwa nia njema kabisa!
huo ndo mwongozo wangu
Judgement, apo kimtazamo tuko sawa helo ndogo ndogo haina sababu 'kumchoresha' mshkaji kwa wife au mpenzi wako mnamalizana kiume
apo kwen kumkopa shemeji inategemea pia na kanuni zinasemaje kati yako na shsmjio, kama zinakubali basi haina shida mnaazimana tu kwa nia njema kabisa!
huo ndo mwongozo wangu
Ananihusu huyu!
Ama! sasa mbona kasema yeye bado ama ndo wachumba? hujaona kuna jamaa kule amemzimikia? lol
ummu kulthum, tunaposema ndogo na kubwa ni very relative hata kwa mwengine elf kumi ni kubwa , ndo maana hapa tukaainisha kabisa kiwango gani tunamaanisha 'hela ndogo' na kipi hela kubwa (>100,0000).Kaizer mwanzo wa ndogo ni kubwa so pesa ni pesa anapaswa kuwa mkweli wi-fi wake
Si unajua hawa viumbe wana tabia za kujishebedua
hahaha sasa vipi hapo napo utataka mwongozo? lol
Umemuona eeh! Mi kwanza nikasema nimlie kobis, yaani Ptato utafikiri konda kamuona abiria !
Nway go ahead mgaagaa na wali hali upwa mkavu!
Aaaah wapi, mtalaka hatongozwi