Wiki kadhaa zimepita tangu jirani zangu waondoke kwenda Apolo Hospital India .
Madhumuni ya safari yao , ni kumpeleka kijana wao , aliyekua ameathirika kwa kiasi kikubwa na midawa ya kilevi .
Walifika hosp na vipimo kuonesha kijana wao ubongowe umeharibika takriban 90% .
Hivyo hakuna tiba, othewise abadilishiwe ubongo kwa ujumla wake .
Wakapelekwa kitengo cha uuzaji ubongo .
Pale wakakuta kuna aina 3 za ubongo uuzwao .
1 . Ubongo wa kizungu bei dola 200
2. Ubongo wa black (mtu mweusi) bei dola 3,000
3. Ubongo wa kihindi dola 500 .
Kwa mujibu wa matarajio yao walidhani , ubongo wa kizungu ndiyo ungeongoza kwa price ya juu .
Ikawabidi waulize "Inakuaje ubongo wa mtu black ndiyo uuzwe bei kubwa na wa kizungu ndy uwe na bei poa , kuliko hiyo mingine?"
Majibu waliyopewa ni -
"Huu ubongo wa kizungu umeshachoka sana , kwa kutumika sana kufikiri ! Na kuvumbua mambo/vitu vingi.
Kama mitambo mikubwa , midege, machines n.k ! Na huu wa black people bado uko fresh , haujatumika hata robo yake kuvumbua na kufikiri , sanasana umetumika kwenye kugombea mali za mirathi na mipaka ya mashamba , umbea mwingi na kufikiri kuibaiba"