Kuhusu Tovuti ya Nataka Gari. Com

codemaster255

Member
Aug 20, 2014
5
1
Naomba kuuliza Kama kuna yeyote mwenye kufahamu kuhusu hii tovuti ya natakagari.com maana wanajitangaza kwenye redio lakini ukiingia kwenye hyo site unakuta magari yanatangazwa lkn namba walizoweka hazipatikani au hta zikipatikana hazipokelewi, kuna namba moja ya whatsapp wameweka inaonekana last seen ni October 2016 ,nlitaka kufahamu wapo au wamekufa
 
Back
Top Bottom