Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

Lumumba inawaharibu sana hawa vijana. Sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi ktk TLS hazitokani na viongozi wa vyama kama hivi kwenye nchi nyingine bali zinatokana na sifa/vigezo/ katiba ya TLS na vetting inayofanywa na TLS's nomination committee
 
Mosi..unajua tofauti kati ya mwanasiasa na mwanachama wa chama cha siasa?
Mbili...unajua kuwa mawakili wengi nao ni wanachama wa vyama vya siasa tofauti yaweza kuwa ni kutoonekana ktk majukwaa ya siasa? Mf. Wasonga.
Tatu...unajua sheria inasemaje kuhusu mtu mwenye sifa za kuchaguliwa kuwa kiongozi wa TLS?
Haya kasome hiyo namba tatu then uje utwambie hapa.

Usiwe na mawazo cheap ya kulinganisha nchi nachi wakati ulifanyika uchaguzi wa haki na jamaa kashinda.
Kwa style hiyo sitashangaa ukija ukasema mbona pesa ya Kenya ina nguvu kubwa kuliko yetu basi Rais ajiuzulu.

Mimi nafahamu kuwa Lissu kushinda imewachukiza wengi ndiyo maana povu linawatoka hovyo.

Kwa taarifa yako anayepaswa kujiuzulu ni yule mwenye majina na vyeti feki na anayevamia ofisi za watu usiku.

Amka kijana
ELIMU ELIMU ELIMU
Nafikiri hujanielewa. The essence ya kuchagua KIONGOZI wa CHAMA cha KISIASA ni nini?
Si ni mlango wa nyuma kujaribu KU INFLUENCE political issues of which TLS was not meant for that Sir/Madam. Na kama nimesema uongo prove me wrong!
 
Akiwa mwanaccm hapo sio mwanasiasa! Imbecility of unmeasurable level !
 
Naomba kuzungumzia kuhusu kuchaguliwa kwa Mh. Tundu Lisu mbunge wa Singida Mashariki kuwa Mwenyekiti/President wa TLS.

Kwanza kabisa tuangalie MIFANO kutoka katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki:
Kenya:
Mwenyekiti wao wa LSK Lawyer Issac Okero SI MWANASIASA.
Uganda ULS-Francis Gimara SI MWANASIASA.
Rwanda Bar Association-Kavaliganda SI MWANASIASA.
Kwa nini sisi hapa mwenyekiti wa TLS ni MWANASIASA na tena ni MBUNGE?

TLS kumchagua Tundu Lisu najua ilikuwa ni PROTEST VOTE against the establishment. Ikiwa hatakuwa CHECKED itawagharimu.

Najua uchaguzi umeisha na niaamini REALITY na reflection imeanza KU SINK in kama KWELI Tundu Lisu ata FIT katika WADHIFA HUO bila kuleta MIGONGANO isiyo na tija.

Kwa nini nina mashaka kuwa TLS iko katika shida kutokana na uamuzi huo? Baadhi ya sababu ni kuwa:
I.Itakuwa ni vigumu sana kwa Tundu Lisu kufanya
kazi zake za uenyekiti bila kuwa na MIEGEMEO ya KISIASA ambayo ITA DENT IMAGE ya TLS kama chombo cha WANASHERIA wasio na MIEGEMEO ya KISIASA.
2. Itamuwia vigumu kutekeleza majukumu MAWILI, Moja la JIMBO lake na pia MATARAJIO ya Members wa TLS. ikiwa ni pamoja na kuandaa SEMINA, MAFUNZO, KUSAIDIA wananchi katika mambo ya sheria ya UKAWA, CCM na WASIO na Chama
3.Ndani ya TLS kuna wale MEMBERS ambao si CHADEMA. How will he be able to BALANCE that? Nk.
4. Je ATAPOKEA mishahara MIWILI na MARUPURUPU ya TLS na ya BUNGE?

Ushauri wangu kwa Mh. Tundu Lisu ni vizuri AJIUZULU wadhifa mmoja ili kuzuia CONFLICT of INTEREST kati ya SERIKALI, Wanachama, na TLS. Bila hivyo CREDIBILITY yaTLS itakuwa DENTED na HAITAHESHIMIKA tena.
Ni mawazo tu...
 
3acbcac1c3bada0129e436ea49a5ff7a.jpg
Naona kweli wewe ULISOMA dah! Una pointi kibao.
 
Jaji mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan ni lini alijiunga na CCM? Naibu Spika Tulia ni lini alijiunga CCM?Sasa hivi hatutaki utani msitutanie kabisaa.
 
Je inafaa rais wa nchi kuwa mwanasiasa (kuwa kada au mwanachama wa chama cha kisiasa) ?
Kama rais anatokana na chama cha kisiasa hivyo ni mwanasiasa je hawezi kulalia upande mmoja ambao ana maslahi nao ? Je rais wa nchi kuwa mwanasiasa au kada na rais wa mawakili kuwa kada au mwanasiasa ipi ina athari kubwa katika nchi?
 
Wewe mbwa kaa kimya, hujui hata maana ya society kenge wewe.
Mkuu, mbona MATUSI tena?
Hata kama hukubaliani nami kuniita MBWA si STAHA!
Niambie hukubaliani nami.
Huu ni mjadala. Hauhitaji uadui.
 
Naomba kuzungumzia kuhusu kuchaguliwa kwa Mh. Tundu Lisu mbunge wa Singida Mashariki kuwa Mwenyekiti/President wa TLS.

Kwanza kabisa tuangalie MIFANO kutoka katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki:
Kenya:
Mwenyekiti wao wa LSK Lawyer Issac Okero SI MWANASIASA.
Uganda ULS-Francis Gimara SI MWANASIASA.
Rwanda Bar Association-Kavaliganda SI MWANASIASA.
Kwa nini sisi hapa mwenyekiti wa TLS ni MWANASIASA na tena ni MBUNGE?

TLS kumchagua Tundu Lisu najua ilikuwa ni PROTEST VOTE against the establishment. Ikiwa hatakuwa CHECKED itawagharimu.

Najua uchaguzi umeisha na niaamini REALITY na reflection imeanza KU SINK in kama KWELI Tundu Lisu ata FIT katika WADHIFA HUO bila kuleta MIGONGANO isiyo na tija.

Kwa nini nina mashaka kuwa TLS iko katika shida kutokana na uamuzi huo? Baadhi ya sababu ni kuwa:
I.Itakuwa ni vigumu sana kwa Tundu Lisu kufanya
kazi zake za uenyekiti bila kuwa na MIEGEMEO ya KISIASA ambayo ITA DENT IMAGE ya TLS kama chombo cha WANASHERIA wasio na MIEGEMEO ya KISIASA.
2. Itamuwia vigumu kutekeleza majukumu MAWILI, Moja la JIMBO lake na pia MATARAJIO ya Members wa TLS. ikiwa ni pamoja na kuandaa SEMINA, MAFUNZO, KUSAIDIA wananchi katika mambo ya sheria ya UKAWA, CCM na WASIO na Chama
3.Ndani ya TLS kuna wale MEMBERS ambao si CHADEMA. How will he be able to BALANCE that? Nk.
4. Je ATAPOKEA mishahara MIWILI na MARUPURUPU ya TLS na ya BUNGE?

Ushauri wangu kwa Mh. Tundu Lisu ni vizuri AJIUZULU wadhifa mmoja ili kuzuia CONFLICT of INTEREST kati ya SERIKALI, Wanachama, na TLS. Bila hivyo CREDIBILITY yaTLS itakuwa DENTED na HAITAHESHIMIKA tena.

Hivi wewe,UNAJIMU umeanza lini au umejifunzia wapi?
 
Je inafaa rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama cha kisiasa ? Je inafaa rais kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya afrika mashariki ? Je inafaa rais kuwa amiri jeshi mkuu? Kama i awezekana je anawezaje kujigawa kimajukumu ? Na anawezaje kuzishinda interests za upande wake dhidi ya interests za walio wengi ?
Ukishajibu maswali haya mtoa post utajiona wewe ni nyumbu na house girl wa lumumba
 
Una uhakika gani kwamba mifano ya hao viongozi uliowasema hawana milengo yao kisiasa hata kama hawajaonyesha waziwazi? Pia una uhakika gani kuwa hata Tundu Lisu asipokuwa rais wa TLS huyo unaemtaka wewe hatakuwa na mlengo wa kisiasa hata kama hatujui chama chake?
 
Mkuu, mbona MATUSI tena?
Hata kama hukubaliani nami kuniita MBWA si STAHA!
Niambie hukubaliani nami.
Huu ni mjadala. Hauhitaji uadui.

Jifunze kutoudhi watu,wengine si wavumilivu Kama unavyo fikiri! Hii nchi watu tumechoshwa na ubabe na unafiki pia!
 
Naomba kuzungumzia kuhusu kuchaguliwa kwa Mh. Tundu Lisu mbunge wa Singida Mashariki kuwa Mwenyekiti/President wa TLS.

Kwanza kabisa tuangalie MIFANO kutoka katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki:
Kenya:
Mwenyekiti wao wa LSK Lawyer Issac Okero SI MWANASIASA.
Uganda ULS-Francis Gimara SI MWANASIASA.
Rwanda Bar Association-Kavaliganda SI MWANASIASA.
Kwa nini sisi hapa mwenyekiti wa TLS ni MWANASIASA na tena ni MBUNGE?

TLS kumchagua Tundu Lisu najua ilikuwa ni PROTEST VOTE against the establishment. Ikiwa hatakuwa CHECKED itawagharimu.

Najua uchaguzi umeisha na niaamini REALITY na reflection imeanza KU SINK in kama KWELI Tundu Lisu ata FIT katika WADHIFA HUO bila kuleta MIGONGANO isiyo na tija.

Kwa nini nina mashaka kuwa TLS iko katika shida kutokana na uamuzi huo? Baadhi ya sababu ni kuwa:
I.Itakuwa ni vigumu sana kwa Tundu Lisu kufanya
kazi zake za uenyekiti bila kuwa na MIEGEMEO ya KISIASA ambayo ITA DENT IMAGE ya TLS kama chombo cha WANASHERIA wasio na MIEGEMEO ya KISIASA.
2. Itamuwia vigumu kutekeleza majukumu MAWILI, Moja la JIMBO lake na pia MATARAJIO ya Members wa TLS. ikiwa ni pamoja na kuandaa SEMINA, MAFUNZO, KUSAIDIA wananchi katika mambo ya sheria ya UKAWA, CCM na WASIO na Chama
3.Ndani ya TLS kuna wale MEMBERS ambao si CHADEMA. How will he be able to BALANCE that? Nk.
4. Je ATAPOKEA mishahara MIWILI na MARUPURUPU ya TLS na ya BUNGE?

Ushauri wangu kwa Mh. Tundu Lisu ni vizuri AJIUZULU wadhifa mmoja ili kuzuia CONFLICT of INTEREST kati ya SERIKALI, Wanachama, na TLS. Bila hivyo CREDIBILITY yaTLS itakuwa DENTED na HAITAHESHIMIKA tena.
NYAMMMBAFFFFF....
Na yule zombi wenu aliyegombea kuteuliwa urais mlimuweka agombee urais wa TLS kwa minajili gani...
viloba vya lumumba vinawalevya vibaya
 
Kwani muongozo wa hii nchi unatoka kenya au uganda ili kila wanachofanya na sisi tufanye izi pumba mjomba
 
Je inafaa rais wa nchi kuwa mwenyekiti wa chama cha kisiasa ? Je inafaa rais kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya afrika mashariki ? Je inafaa rais kuwa amiri jeshi mkuu? Kama i awezekana je anawezaje kujigawa kimajukumu ? Na anawezaje kuzishinda interests za upande wake dhidi ya interests za walio wengi ?
Ukishajibu maswali haya mtoa post utajiona wewe ni nyumbu na house girl wa lumumba
Mambo ya TLS ni tofauti kabisa na mifano yako.
 
Back
Top Bottom