Kuhusu tendo la ndoa/ngono

Kuhusu tendo la ndoa/ngono

TENDO LA NDOA LINAPUNGUZA MSHTUKO WA MOYO

Utafiti umebaini kuwa kujihusisha na tendo la ndoa kunapunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa mshtuko wa moyo kwa asilimia mbili. Pia, watu wenye kukabiliana na ugonjwa huo wameshauriwa kuitumia siku moja baada ya kupata mshtuko wa moyo, kujihusisha na tendo la ndoa ili kupunguza uwezekano wa kujirudia kwa tatizo hilo mara kwa mara. Hayo yameelezwa na mtaalam wa magonjwa ya moyo, Profesa Claudio Soares.
 
Back
Top Bottom