Kuhusu taa zinazojiwasha

Kuhusu taa zinazojiwasha

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Nimeona kwenye series mbalimbali hasa za wakorea kuwa wana taa automatic ambazo wakiingia ndani tu zinajiwasha na wakijiegesha zinajizima jee ni wapi InauWa au nani anaweza zitengeneza and what is the price
 
Sijuhi kama una idea ya mambo ya umeme & electronics.
Taa hizo zina namna ya kuzifunga na kufanya setting ya muda wa kuwaka na kuzima kwa kutumia timer (mfano wa traffic lights), pia zipo nyingine ambazo zinatumia photo electric cells ambapo wingu au giza linasababisha taa hizi kuwaka na kuzima. Nyingine zinakuwa active zinapo sense joto la binadamu hasa kwenye milango au gates.
Sielewi unahitaji kufanya nini na taa hizi.
 
mkuu sina elimu ya fizikia ila mbona naona ni easy? tena unafanya bila sensor.

-ukiingia ndani inajiwasha- easy unaeka switch ya kuwashia taa kwenye sijui ndio bawaba zile za mlango, aina hio ya switch iwe ni ya kuwasha tu haizimi ili hata ukifunga mlango taa isizime.

-kuhusu ukilala inazima- switch itakaa chini ya godoro na hio switch itakuwa imesetiwa uzito wako, mfano ukikaa kitandan uzito unakuwa mdogo ila ukilala kabisa unaongezeka taa inazima. then ikizima taa ile switch ya mlangoni inajitriger na kuwa ready mlango ukifunguliwa tena.

well hio ni concept rahisi tu bila sensor ila kwa dunia ya sasa ya sensor unaweza ekewa kitu ukikonyeza tu unazima/kuwasha taa
 
Nimeona kwenye series mbalimbali hasa za wakorea kuwa wana taa automatic ambazo wakiingia ndani tu zinajiwasha na wakijiegesha zinajizima jee ni wapi InauWa au nani anaweza zitengeneza and what is the price
  • Wasiliana na huyu ndugu Transistor ni designer mzuli na atatua hili swala lako kwa ghalama nafuu
  • Tafuta thread zake uone ukali wake katika electronics
  • Kama sijakosea anapatikana Dar
 
mkuu sina elimu ya fizikia ila mbona naona ni easy? tena unafanya bila sensor.

-ukiingia ndani inajiwasha- easy unaeka switch ya kuwashia taa kwenye sijui ndio bawaba zile za mlango, aina hio ya switch iwe ni ya kuwasha tu haizimi ili hata ukifunga mlango taa isizime.

-kuhusu ukilala inazima- switch itakaa chini ya godoro na hio switch itakuwa imesetiwa uzito wako, mfano ukikaa kitandan uzito unakuwa mdogo ila ukilala kabisa unaongezeka taa inazima. then ikizima taa ile switch ya mlangoni inajitriger na kuwa ready mlango ukifunguliwa tena.

well hio ni concept rahisi tu bila sensor ila kwa dunia ya sasa ya sensor unaweza ekewa kitu ukikonyeza tu unazima/kuwasha taa
 
Mi kwa elimu yangu ndogo najua kua hizo zinafanya kazi kwa kufuata mfumo uitwao LOGIC GATES. Kama ulikua unafuatilia vipindi vya itv sabasaba na nanenane kulikuwa na wataalamu walikua wakielezea kuhusu hii mifumo. Taa ipo ambayo niya kawaida lakin swichi ipo katika mfumo wa sensor. Ama taa yenyewe imewekwa sensor pindi liingiapo giza inajwasha au sensor inawekwa mlangoni ukiisogelea inafanya taa kuwaka. Unaweza kuwatafuta hao jamaa wanapatikana dar kama sikosei! Huyu jamaa anaye sema umtafte TRANSISTOR anamizaa tu! Hiki ni kifaa kinachofanya kazi kwenye hizo automatiki taa, pamoja na mifumo mingine ya kielectroniki.
 
Back
Top Bottom