Hivi huyu ni mzee au kijanaAlisema huyo jamaa hapo chini.View attachment 1611707
Naona wewe no mzito kuelewa, swala amewekwa kuonesha tu jinsi wanaccm wanavyovunja sheria na kupeta, unamkumbuka yule mada wa CCM kanda ya ziwa aliyekamatwa kwa mbwembwe akiwa na nyama pori na bunduki kumi na tano (15) yaani fifteen (xv)! Kesi iliyeyuka na nyama ilikuwa kwa ugali wa muhogo! Asingekuwa mwanaccm angejuta wanyamapori kuwepo duniani.Yaani una mahaba mpaka kichwa kinakuwa kizito sasa suala la swala umeliunganisha harakati za wapinzani mbona umewazarau sana.