Kuhusu swala kugongwa Mbuga ya Mikumi

Kuhusu swala kugongwa Mbuga ya Mikumi

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,956
Reaction score
7,003
Nimeona Waziri wa Maliasili na Utalii analalamika kuwa kuna dereva amepita mikumi akiwa kasi na VX V8 amemgonga swala na hajasimama. Haya ni maoni yangu:-

1. Gari hilo lazima linamilikiwa na kada wa CCM.
2. Dereva wa gari au mmiliki anajua hawana cha kumfanya.
3. Anaamini hata akikamatwa, yataishia kuwa mazungumzo na case inaisha.

Kwa tukio hili ni ishara kuwa CCM wanajiona wana haki zilizozidi kuliko wengine ndani ya nchi hii.

Na tabia hizi wamezionesha kwa kufanya figisu kwa wagombea wa vyama vingine. Wao wanajiona nchi hii ni mali yao. Ukofika kwenye maeneo ya wazi, utaona bendera za ccm, vyama vingine vikiweka zinatolewa.

Mabango ya kampeni utayakuta ya ccm, upinzani wakijaribu yanachanwa. Mikutano ya ccm mingi inavunja kanuni lkn hutasikia wanachukuliwa hatua. Yote hii wanajiona wana hati miliki ya kufanya lolote kwenye nchi hii.

Tabia za namna hii ndio zimebadili kura yangu kutoka ccm kwenda kwa Tundu Lisu. Lengo aje anyooshe usawa wote tuwe sawa mbele ya sheria.

Inakera kuona vyombo vya serikali kutumika kulinda CCM. Inakera sana
 
Yaani una mahaba mpaka kichwa kinakuwa kizito sasa suala la swala umeliunganisha harakati za wapinzani mbona umewazarau sana.
 
Nimeona Waziri wa Maliasili na Utalii analalamika kuwa kuna dereva amepita mikumi akiwa kasi na VX V8 amemgonga swala na hajasimama. Haya ni maoni yangu:-

1. Gari hilo lazima linamilikiwa na kada wa CCM.
2. Dereva wa gari au mmiliki anajua hawana cha kumfanya.
3. Anaamini hata akikamatwa, yataishia kuwa mazungumzo na case inaisha.

Kwa tukio hili ni ishara kuwa CCM wanajiona wana haki zilizozidi kuliko wengine ndani ya nchi hii.

Na tabia hizi wamezionesha kwa kufanya figisu kwa wagombea wa vyama vingine. Wao wanajiona nchi hii ni mali yao. Ukofika kwenye maeneo ya wazi, utaona bendera za ccm, vyama vingine vikiweka zinatolewa.

Mabango ya kampeni utayakuta ya ccm, upinzani wakijaribu yanachanwa. Mikutano ya ccm mingi inavunja kanuni lkn hutasikia wanachukuliwa hatua. Yote hii wanajiona wana hati miliki ya kufanya lolote kwenye nchi hii.

Tabia za namna hii ndio zimebadili kura yangu kutoka ccm kwenda kwa Tundu Lisu. Lengo aje anyooshe usawa wote tuwe sawa mbele ya sheria.

Inakera kuona vyombo vya serikali kutumika kulinda CCM. Inakera sana
Dada hamisi alihonga na kuua twiga mbona hakukamatwa,na kusomewa shtaka la kuua mali asili yetu
 
Acha uongo na umbea, swala hajagongwa Mikumi
 
Una manisha wenye V8 ni CCM peke yao
Alisema huyo jamaa hapo chini.
EkjOyBlX0AEyvSk.jpg
 
Alisema huyo jamaa hapo chini.View attachment 1611707
Hili jamaa hovyo sana 2015 kabla ya uchaguzi lilikuwa linalala na Kushinda studio za channel 10 kumponda tu Lowassa hili Lipate ulaji. Lenyewe sasa limekuwa fisadi kweli. Haya ndio yakuyapeleka concentration camps Lissu akichukua nchi na kuyatorture kwa ajili ya tafiti mbalimbali.
 
Nimeona Waziri wa Maliasili na Utalii analalamika kuwa kuna dereva amepita mikumi akiwa kasi na VX V8 amemgonga swala na hajasimama. Haya ni maoni yangu:-

1. Gari hilo lazima linamilikiwa na kada wa CCM.
2. Dereva wa gari au mmiliki anajua hawana cha kumfanya.
3. Anaamini hata akikamatwa, yataishia kuwa mazungumzo na case inaisha.

Kwa tukio hili ni ishara kuwa CCM wanajiona wana haki zilizozidi kuliko wengine ndani ya nchi hii.

Na tabia hizi wamezionesha kwa kufanya figisu kwa wagombea wa vyama vingine. Wao wanajiona nchi hii ni mali yao. Ukofika kwenye maeneo ya wazi, utaona bendera za ccm, vyama vingine vikiweka zinatolewa.

Mabango ya kampeni utayakuta ya ccm, upinzani wakijaribu yanachanwa. Mikutano ya ccm mingi inavunja kanuni lkn hutasikia wanachukuliwa hatua. Yote hii wanajiona wana hati miliki ya kufanya lolote kwenye nchi hii.

Tabia za namna hii ndio zimebadili kura yangu kutoka ccm kwenda kwa Tundu Lisu. Lengo aje anyooshe usawa wote tuwe sawa mbele ya sheria.

Inakera kuona vyombo vya serikali kutumika kulinda CCM. Inakera sana
Hiyo v8 ikichunguzwa vizuri utakuta ni moja ya zile V8 za Madam polepole
 
Hawa wezi tuwaadhibu wiki hii.
 
Hiv Tanzania nzima ccm tu ndio wanamiliki VX V8?
Ama kweli mahaba ya siasa yana tufanya tuwe wajinga wa kufikiria
 
chagua magufuli mitano tena

CCM TENA?, INAHUSIKAJE HAPA!?
 
Back
Top Bottom