paxo
Member
- Oct 10, 2015
- 55
- 31
Habari ya mda huu ndugu zangu.
Kuna dogo mmoja alikuwa kwenye orodha ya multiple admitted, tumecomfirm SUA lakn profile yake haionyeshi mabadiliko yeyote. Naomba kufahamu kwa yule aliyeconfirm SUA nini kimeonekana kwenye profile yake ili niweze kujua kama ni tatizo au laa maana nikiwapigia chuoni hawapokei simu.