kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 305
Wanabody kwema? Nina kijiswali tu katika tasnia hii ya burudani, ni hivi Mara nyingi nikiskilza matangazo kweli radio yaa promo zikiruka hewani kuhusu mziki utaskia msanii flani atakuwepo na flani atakuwepo, na special appearance atakuwa flani Mara nyingi ni mwanamke, kiingilio elf 10, sasa swali linakuja special appearance ni nini na kwanini awe mwanamke tu? Karibuni wataalamu wa mambo haya tupeane elimu,