jikuTech JF-Expert Member Joined Apr 9, 2023 Posts 228 Reaction score 290 Apr 8, 2025 #1 Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na kuliandika kabla ya kuanza kuandika code Tembelea kiungo hiki kuingia kwenye mafundisho ya IT-TEHAMA yanayo endelea Jifunze Information Technology (IT-TEHAMA)
Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na kuliandika kabla ya kuanza kuandika code Tembelea kiungo hiki kuingia kwenye mafundisho ya IT-TEHAMA yanayo endelea Jifunze Information Technology (IT-TEHAMA)