Khaaa...partner leo nalala nimenuna.Hiyo mistari hata nilivyokua under 20 ingenifanya nipoteze kabisa interest achilia mbali kua above!!Nwy mtu ambae mpaka msg ya mapenzi anacopy na kupaste ana hasara sana maana wenzake watamwibia kirahisi sana!What to tell mpenzi wako depends na the type of person alivyo...Ni muhimu kumjua mwenzio ana penda nini...Hayo maneno hapo juu nimetoa.. but believe me mpenzi wangu simpi hio mistari...Haimfaii...Mpaka huyu kaomba msaada wa message i bet you ni under 22,na kama ni that age hio message yamfaa kabisa..
Khaaa...partner leo nalala nimenuna.Hiyo mistari hata nilivyokua under 20 ingenifanya nipoteze kabisa interest achilia mbali kua above!!Nwy mtu ambae mpaka msg ya mapenzi anacopy na kupaste ana hasara sana maana wenzake watamwibia kirahisi sana!
Haya njoo nipate hug langu...shurly i deserve it..Dah! kukumiss koote huku nilikua nasogea na hug... mpaka nimeogopa.. nimekukuta movie theater meno yoote nje...lol
Muulize analalia upande gani wa kitanda....akikujibu pick up from there lol! Ok all jokes aside wewe mpenzi wako mpaka leo hujui nini cha kumwambia? Kweli kazi ipo kizazi hiki.
My Love
Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie
Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo .
Kwa mapenzi ya dhati Kagarara
Jamaa ulimi ungekuwa mzito asingeweza kumtongoza bibie unless bibie ndio alimtongoza jamaa.Stop being mean.. jamaa ulimi mzito anaomba msaada..lol
una maneno matamu,big up
Jamaa ulimi ungekuwa mzito asingeweza kumtongoza bibie unless bibie ndio alimtongoza jamaa.
Ushauri wangu kwake asikilize love songs au asome romantic novels mara kwa mara atapata tips mbili tatu if all fails basi anipe number ya bibie mie kila jioni nitakuwa namtext nikijidai ni jamaa. I kid!!
Hahaha bibie hakawiii kupenda maneno ya mtu mwingine siku ya siku kaamua kulala kwake akiombwa maneno matamu ataishia kujiuma uma bure.The bolded above... sio necessarily...lol... waweza fanya hivyo..
Hahaha bibie hakawiii kupenda maneno ya mtu mwingine siku ya siku kaamua kulala kwake akiombwa maneno matamu ataishia kujiuma uma bure.
Mkuu Ashadii duh! Umetoa mistari ya ukweli, nadhani hakuna haja ya kuendelea na mjadala, umemaliza vyote teh! Nadhani mpenz wako anafaidi!My Love…Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa… Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha… oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako… Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie… Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri… lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno… Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…
Huyu kasahau sms za mapenzi zaitaji hisia toka ndani yake. Ngoja tumfundishe asemee hisia zetu kwa MY GIRLFRIEND wake!be urself mwe!
Huyu kasahau sms za mapenzi zaitaji hisia toka ndani yake. Ngoja tumfundishe asemee hisia zetu kwa MY GIRLFRIEND wake!