Kuhusu: Samsung Galaxy Grand Prime Plus

Kuhusu: Samsung Galaxy Grand Prime Plus

numis

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Posts
176
Reaction score
188
Kwa anaetumia au alietumia anipe mrejesho. Iko vipi?

Interms of perfomance na n.k
 
Kwa anaetumia au alietumia anipe mrejesho..iko vipi interms of perfomance na n.k
Iko safi tu. Pia ina display nzuri tu kwa picha na videoz, Ila 8gb ongeza storage kwa memory card.
 
Mkuu unaitumia? Vipi ukaaji wa chaji na ubora wa picha?
Samsung zote kwa picha ziko vizuri labda zile ndogo min. Yaani Camera na Display ya picha kwenye screen. Ndio maana ukivunja display na touch zake utachimba sana mfukoni.

Nimetumia J3, Grand Prime, S4, na S6.
Samsung zote ukaaji wake wa chaji ni matumizi hazikai sana na chaji kama ni mtu wa youtube sana kwasababu ni cm iko vizuri user friendly features nyingi labda uwe wa incoming calls tu.
 
Asante mkuu...itabidi nirudi Samsung. Niliwahi kuwa na J1 sikuipenda, saivi Niko na infinix nataka kuchukua grand prime au J5 prime
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom