Kuhusu Rais Magufuli Kushika Uenyekiti wa SADC, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo

Kwanza nimpongeze Rais John Pombe Magufuli kwa 'kurithi' kiti cha Uenyekiti wa SADC. Pili nitoe elimu kidogo kuhusu Mwenyekiti wa SADC anavyopatikana, maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwamba amechaguliwa kwa sababu ya uchapakazi wake. šŸ¤£

Protocol ya SADC inaeleza kuwa Uenyekiti wa jumuiya hiyo utakuwa wa mzunguko kila mwaka, na nchi inayohost mkutano mkuu, Mkuu wake wa nchi ndiye atakuwa Mwenyekiti.

SADC ilianzishwa 17 August 1992 ikiwa na nchi wanachama 9 tu, lakini mpaka sasa ni 16. Kwahiyo kutokana na protocal ni lazima nchi zote 16 zipokezane kwenye kuandaa mkutano mkuu na kurithi nafasi ya uenyekiti.

Mara ya kwanza Tanzania kuhost mkutano wa SADC ilikua mwaka 2003 na Mkuu wa nchi wakati huo Benjamin Mkapa alirithi kiti cha Uenyekiti wa Jumuiya hiyo. Akaongoza hadi mwaka 2004.

Miaka iliyofuata mkutano mkuu wa SADC ukaenda nchi zingine, na wenyeviti wakawa wakuu wa nchi hizo kwa kupokezana.

Tangu 2003 tulipoandaa mkutano mkuu wa SADC, miaka 16 imeisha mwaka huu. Kwahiyo mwaka huu ni zamu yetu. Si kwa sababu ya utendaji wa Rais JPM au uzuri wa Wema Sepetu. Ni kwa sababu zamu yetu imefika.

Na kwa sababu tumekuwa waandaaji, automatically Rais aliyeko madarakani anarithi uenyekiti wa jumuiya hiyo.

Kwahiyo Magufuli amekuwa Mwenyekiti kwa sababu ndiye Mkuu wetu wa nchi aliyepo madarakani kwa sasa. Hata kama Piere Liquid ndo angekuwa mkuu wa nchi, basi angerithi nafasi ya Uenyekiti wa SADC.

Kwahiyo Uenyekiti wa SADC hauhusiani kwa vyovyote na kuchapa kazi wala kucahapa maji. Tumepata fursa ya kuhost mkutano wa SADC mwaka huu kwa sababu ni zamu yetu katika mzunguko, na Rais wetu amerithi nafasi ya Uenyekiti kwa sababu ni zamu yetu. Period.

Achaneni na maneno ya 'vishohia' waliofeli Civics ya form one wanaosema eti uchapakazi wa JPM ndo umempa uenyekiti. Tuwasamehe bure. Tumpongeze Rais lakini tusitumie nafasi hiyo kupotosha.

Kama nchi wanachama hazitaongezeka au kupungua, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo (mwaka 2035) na Rais atakayekuwepo madarani wakati huo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa SADC bila kujalisha kama ni mchapakazi au mchapa maji.

Malisa GJ
Kwan isingekuwa kwa utendaji wake angeteuliwa,lazima kuna qualifications zinaangaliwa kijana
 
Kwanza nimpongeze Rais John Pombe Magufuli kwa 'kurithi' kiti cha Uenyekiti wa SADC. Pili nitoe elimu kidogo kuhusu Mwenyekiti wa SADC anavyopatikana, maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwamba amechaguliwa kwa sababu ya uchapakazi wake.

Protocol ya SADC inaeleza kuwa Uenyekiti wa jumuiya hiyo utakuwa wa mzunguko kila mwaka, na nchi inayohost mkutano mkuu, Mkuu wake wa nchi ndiye atakuwa Mwenyekiti.

SADC ilianzishwa 17 August 1992 ikiwa na nchi wanachama 9 tu, lakini mpaka sasa ni 16. Kwahiyo kutokana na protocal ni lazima nchi zote 16 zipokezane kwenye kuandaa mkutano mkuu na kurithi nafasi ya uenyekiti.

Mara ya kwanza Tanzania kuhost mkutano wa SADC ilikua mwaka 2003 na Mkuu wa nchi wakati huo Benjamin Mkapa alirithi kiti cha Uenyekiti wa Jumuiya hiyo. Akaongoza hadi mwaka 2004.

Miaka iliyofuata mkutano mkuu wa SADC ukaenda nchi zingine, na wenyeviti wakawa wakuu wa nchi hizo kwa kupokezana.

Tangu 2003 tulipoandaa mkutano mkuu wa SADC, miaka 16 imeisha mwaka huu. Kwahiyo mwaka huu ni zamu yetu. Si kwa sababu ya utendaji wa Rais JPM au uzuri wa Wema Sepetu. Ni kwa sababu zamu yetu imefika.

Na kwa sababu tumekuwa waandaaji, automatically Rais aliyeko madarakani anarithi uenyekiti wa jumuiya hiyo.

Kwahiyo Magufuli amekuwa Mwenyekiti kwa sababu ndiye Mkuu wetu wa nchi aliyepo madarakani kwa sasa. Hata kama Piere Liquid ndo angekuwa mkuu wa nchi, basi angerithi nafasi ya Uenyekiti wa SADC.

Kwahiyo Uenyekiti wa SADC hauhusiani kwa vyovyote na kuchapa kazi wala kucahapa maji. Tumepata fursa ya kuhost mkutano wa SADC mwaka huu kwa sababu ni zamu yetu katika mzunguko, na Rais wetu amerithi nafasi ya Uenyekiti kwa sababu ni zamu yetu. Period.

Achaneni na maneno ya 'vishohia' waliofeli Civics ya form one wanaosema eti uchapakazi wa JPM ndo umempa uenyekiti. Tuwasamehe bure. Tumpongeze Rais lakini tusitumie nafasi hiyo kupotosha.

Kama nchi wanachama hazitaongezeka au kupungua, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo (mwaka 2035) na Rais atakayekuwepo madarani wakati huo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa SADC bila kujalisha kama ni mchapakazi au mchapa maji.

Malisa GJ
Dah...kumbe Wema Sepetu ni mzuri? ..nilikuwa sijui...asante kwa kunipa somo
 
Pointless. Thought there is something amazing but nonsensical one.Nowadays he is not the same as he was those days.
 
SADC IDUMU MILELE NAPENDA WAREMBO WA NAMIBIA SWAZILAND NA SOUTH AFRIKA NAMTAKIA UONGOZI MWEMA UENYEKITI WAKE RAIS WETU MH MAGUFULI
 
Kwanza nimpongeze Rais John Pombe Magufuli kwa 'kurithi' kiti cha Uenyekiti wa SADC. Pili nitoe elimu kidogo kuhusu Mwenyekiti wa SADC anavyopatikana, maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwamba amechaguliwa kwa sababu ya uchapakazi wake. šŸ¤£

Protocol ya SADC inaeleza kuwa Uenyekiti wa jumuiya hiyo utakuwa wa mzunguko kila mwaka, na nchi inayohost mkutano mkuu, Mkuu wake wa nchi ndiye atakuwa Mwenyekiti.

SADC ilianzishwa 17 August 1992 ikiwa na nchi wanachama 9 tu, lakini mpaka sasa ni 16. Kwahiyo kutokana na protocal ni lazima nchi zote 16 zipokezane kwenye kuandaa mkutano mkuu na kurithi nafasi ya uenyekiti.

Mara ya kwanza Tanzania kuhost mkutano wa SADC ilikua mwaka 2003 na Mkuu wa nchi wakati huo Benjamin Mkapa alirithi kiti cha Uenyekiti wa Jumuiya hiyo. Akaongoza hadi mwaka 2004.

Miaka iliyofuata mkutano mkuu wa SADC ukaenda nchi zingine, na wenyeviti wakawa wakuu wa nchi hizo kwa kupokezana.

Tangu 2003 tulipoandaa mkutano mkuu wa SADC, miaka 16 imeisha mwaka huu. Kwahiyo mwaka huu ni zamu yetu. Si kwa sababu ya utendaji wa Rais JPM au uzuri wa Wema Sepetu. Ni kwa sababu zamu yetu imefika.

Na kwa sababu tumekuwa waandaaji, automatically Rais aliyeko madarakani anarithi uenyekiti wa jumuiya hiyo.

Kwahiyo Magufuli amekuwa Mwenyekiti kwa sababu ndiye Mkuu wetu wa nchi aliyepo madarakani kwa sasa. Hata kama Piere Liquid ndo angekuwa mkuu wa nchi, basi angerithi nafasi ya Uenyekiti wa SADC.

Kwahiyo Uenyekiti wa SADC hauhusiani kwa vyovyote na kuchapa kazi wala kucahapa maji. Tumepata fursa ya kuhost mkutano wa SADC mwaka huu kwa sababu ni zamu yetu katika mzunguko, na Rais wetu amerithi nafasi ya Uenyekiti kwa sababu ni zamu yetu. Period.

Achaneni na maneno ya 'vishohia' waliofeli Civics ya form one wanaosema eti uchapakazi wa JPM ndo umempa uenyekiti. Tuwasamehe bure. Tumpongeze Rais lakini tusitumie nafasi hiyo kupotosha.

Kama nchi wanachama hazitaongezeka au kupungua, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo (mwaka 2035) na Rais atakayekuwepo madarani wakati huo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa SADC bila kujalisha kama ni mchapakazi au mchapa maji.

Malisa GJ
Du unafeli Sana kuzungumzia Jambo dogo kama hili ndugu yangu Malisa,kwani Kuna mambo mengi ya maana yanayopaswa kujadiliwa juu ya SADC.
Inaonyesha ni jinsi ngani Magu kawashika pabaya 2020 tutaona mengi
 
Well said....propaganda zilivuka msitari....hata wengine tunaogopa....ila on other side TBC wamejitahidi Sana...publicatins /advertisement kuhusu TZ na projects zake mmezipa airtime yakutoshaa
 
Upinzani wa kupinga kila kitu.
Hongera sana Mhesh,yeah Magu is the Man....!!
Ni kulamba lolo tu.
 
which is a total waste of time and resources to have these coronation rotations every year. The focus on change of chairmanship distracts from meaningful agenda...
 
Na Mbowe nae amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20 bila kuitisha uchaguzi kwa sababu ya udikiteta au uchapa kazi wake??
Topic hapa ni Magufuli na SADC, ukitaka ya Mbowe anzisha Uzi wake.
 
Si sawa kwani si lazima kupokea kijiti unaweza kukataa kwa mambo mengi ama wakakuruka, kumbuka nchi zilikuwa 9 na mpaka leo S. Africa haipo je zikiwa 17 je zikijitoa kmTanzania tulivoombwa na Nchi za Maziwa makuu. Wanachoangalia Nchi km imetulia na inaweza kupokea Mkutano
Alichoandika ni sawa au si sawa?
 
Ni utoto kuandika kinachojulikana kwa wote nani hajui jambo hilo? Tatizo kubwa mahater wa Magufuli wanapata shida sana na mwisho wanafanya utoto

Wapi ww, unadhani watu hawajui kama mnapotosha? Mpaka mtanzangazaji wa TBC1 bwana Gabriel Zacharia anasema hivyo. Kama sio upotoshaji wa makusudi ni nini? Na sio huyo tu, ni wengi wanaojikomba kuwa Magu wanapotosha tena kwa makusudi.
 
Pole
 
Kwani kuna mtu alikuwa hajui kuwa uenyekiti wa SADC ni wa kupokezana kijiti???
Ndiyo hawajui imeonekana kutokana na kauli zao za "Eti amepewa kutokana na kuchapa kazi" ujinga huu ndo tunaoukataa na ndo aliukataa Malisa Gj na kuutolea ufafanuzi. Acheni kumpatia misifa mtu ambaye hata hastahili anayeona watu wanapotea na kuuawa kinyama na anakaa kimya
 
Back
Top Bottom