Kuhusu Rais Magufuli Kushika Uenyekiti wa SADC, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo

Wewe ndio mshambenga na mshakunaku umejaa kusifia tu hata upumbavu. Lakini nanmukuu Nyerere alisema upumbavu nayo ni sifa tu Kama ufupi na urefu.
Kwani nani kabisha,hata angekuwa mbowe na mzuri kama Halima mdee wangekuwa tu mwenyekiti,wakati mwingine tusipoteze muda!
 
Shule wewe mtaa wa pili, East Africa Community mpaka leo tunadaiwa michango ya uanachama bilioni 19 hatujalipa. Sisi kila kitu kuwepo sisi tunaona ni faida kwa wengine. Pole sana preise team!!
SADEC umeandika wewe,
Mi najua ni Mwenyekiti wa SADC.
 
Wapo waliodhani amechaguliwa kwa sababu ya uchapakazi, ndio hao aliowaelewesha.
Huwezi kuwa mtu wa upande ule ukapenda kuelimisha wa upande huu! Ni upungufu wa hekima ndiyo unaoweza kukufanya mtu wa upande ule uelimishe au utoto ukiwa unakusumbua. Ni katika juhudi zake za kumharibia asiyempenda ingawa ni Rais wake. Kumbuka asiyekupenda kamwe hawezi kukupenda bali anayekupenda anaweza kutokupenda. Pambaneni na roho zenu za korosho kwani nchi inasonga mbele (SGR umeme, ubungo, kimara, madaraja cocobeach na busisi etc)
 
Je wale waliokuwa wanasema amechaguliwa kwa sababu ya uchapa kazi?

Watanzania bwana, ndio maana kule Misri tulifungwa mechi zote. Maana Kila Kila kitu hatujui.
 
Huwezi kuwa mtu wa upande ule ukapenda kuelimisha wa upande huu! Ni upungufu wa hekima ndiyo unaoweza kukufanya mtu wa upande ule uelimishe au utoto ukiwa unakusumbua. Ni katika juhudi zake za kumharibia asiyempenda ingawa ni Rais wake. Kumbuka asiyekupenda kamwe hawezi kukupenda bali anayekupenda anaweza kutokupenda. Pambaneni na roho zenu za korosho kwani nchi inasonga mbele (SGR umeme, ubungo, kimara, madaraja cocobeach na busisi etc)
Kwahyo wewe unasema kachaguliwa, na kuchaguliwa ina maana kuna watu wamekaa wakasema huyu anafaa na huyu hafai. Kama unazan ni hivyo basi hukusoma Civics au ndo nyie mliefundishwa Civics ya Tanzania na walimu wa Cuba.
 
Vipi watumishi mishahara imeongezeka? korosho je? ,haaaa, haaaa, praise team bwana.
Huwezi kuwa mtu wa upande ule ukapenda kuelimisha wa upande huu! Ni upungufu wa hekima ndiyo unaoweza kukufanya mtu wa upande ule uelimishe au utoto ukiwa unakusumbua. Ni katika juhudi zake za kumharibia asiyempenda ingawa ni Rais wake. Kumbuka asiyekupenda kamwe hawezi kukupenda bali anayekupenda anaweza kutokupenda. Pambaneni na roho zenu za korosho kwani nchi inasonga mbele (SGR umeme, ubungo, kimara, madaraja cocobeach na busisi etc)
 
Ni utoto kuandika kinachojulikana kwa wote nani hajui jambo hilo? Tatizo kubwa mahater wa Magufuli wanapata shida sana na mwisho wanafanya utoto
Jana Gabriel Zacharia akiwa LIVE na Elisha Eliah (wote hawa wapo TBC) alipotosha kwa makusudi na kusema Magufuli amechaguliwa kuwa Mkiti wa SADC sababu ya UCHAPAKAZI wake..!!
Huyuhuyu aliwahi tena kuokota habari kwenye mtandao gani sijui ule na kusema Trump amempongeza Magufuli kwenye TAARIFA YA HABARI, habari iliyokanushwa na Ubalozi wa US na ikamletea shida sana lakini wapi..
Yani unampa mtu sifa asizokuwa nazo mpaka mwenyewe anaona noma.
 
Watu wanasaka uteuzi kwa udi na uvumba .
 
Ni utoto kuandika kinachojulikana kwa wote nani hajui jambo hilo? Tatizo kubwa mahater wa Magufuli wanapata shida sana na mwisho wanafanya utoto
Mimi nilikuwa sijui,nilikuwa najua kutokana na utendaji wa JPM na umaarufu wake ndio akapewa!
 
Kwanza nimpongeze Rais John Pombe Magufuli kwa 'kurithi' kiti cha Uenyekiti wa SADC. Pili nitoe elimu kidogo kuhusu Mwenyekiti wa SADC anavyopatikana, maana kumekuwa na upotoshaji wa makusudi kwamba amechaguliwa kwa sababu ya uchapakazi wake. 🤣

Protocol ya SADC inaeleza kuwa Uenyekiti wa jumuiya hiyo utakuwa wa mzunguko kila mwaka, na nchi inayohost mkutano mkuu, Mkuu wake wa nchi ndiye atakuwa Mwenyekiti.

SADC ilianzishwa 17 August 1992 ikiwa na nchi wanachama 9 tu, lakini mpaka sasa ni 16. Kwahiyo kutokana na protocal ni lazima nchi zote 16 zipokezane kwenye kuandaa mkutano mkuu na kurithi nafasi ya uenyekiti.

Mara ya kwanza Tanzania kuhost mkutano wa SADC ilikua mwaka 2003 na Mkuu wa nchi wakati huo Benjamin Mkapa alirithi kiti cha Uenyekiti wa Jumuiya hiyo. Akaongoza hadi mwaka 2004.

Miaka iliyofuata mkutano mkuu wa SADC ukaenda nchi zingine, na wenyeviti wakawa wakuu wa nchi hizo kwa kupokezana.

Tangu 2003 tulipoandaa mkutano mkuu wa SADC, miaka 16 imeisha mwaka huu. Kwahiyo mwaka huu ni zamu yetu. Si kwa sababu ya utendaji wa Rais JPM au uzuri wa Wema Sepetu. Ni kwa sababu zamu yetu imefika.

Na kwa sababu tumekuwa waandaaji, automatically Rais aliyeko madarakani anarithi uenyekiti wa jumuiya hiyo.

Kwahiyo Magufuli amekuwa Mwenyekiti kwa sababu ndiye Mkuu wetu wa nchi aliyepo madarakani kwa sasa. Hata kama Piere Liquid ndo angekuwa mkuu wa nchi, basi angerithi nafasi ya Uenyekiti wa SADC.

Kwahiyo Uenyekiti wa SADC hauhusiani kwa vyovyote na kuchapa kazi wala kucahapa maji. Tumepata fursa ya kuhost mkutano wa SADC mwaka huu kwa sababu ni zamu yetu katika mzunguko, na Rais wetu amerithi nafasi ya Uenyekiti kwa sababu ni zamu yetu. Period.

Achaneni na maneno ya 'vishohia' waliofeli Civics ya form one wanaosema eti uchapakazi wa JPM ndo umempa uenyekiti. Tuwasamehe bure. Tumpongeze Rais lakini tusitumie nafasi hiyo kupotosha.

Kama nchi wanachama hazitaongezeka au kupungua, zamu yetu tena itafika miaka 16 ijayo (mwaka 2035) na Rais atakayekuwepo madarani wakati huo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa SADC bila kujalisha kama ni mchapakazi au mchapa maji.

Malisa GJ

malisa ndio amefikia level hii?
 
Na Mbowe nae amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20 bila kuitisha uchaguzi kwa sababu ya udikiteta au uchapa kazi wake??
Hahahahaaa,eti miaka 20 bila kuitisha uchaguzi!Karne hii utamdanganya nani?
 
Kwahyo wewe unasema kachaguliwa, na kuchaguliwa ina maana kuna watu wamekaa wakasema huyu anafaa na huyu hafai. Kama unazan ni hivyo basi hukusoma Civics au ndo nyie mliefundishwa Civics ya Tanzania na walimu wa Cuba.
Usinilishe maneno inajulikana ni zamu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom