kuhusu oteas

teacher ben

New Member
Mar 6, 2019
1
20
naomba kuuliza wadau juu ya OTEAS,, je baada ya kumaliza process zote utajuaje kuwa maombi yako yamepokelewa sehemu husika?,,, maana nnachoona ni baada ya kujaza mikoa uki click sehemu ya save ndo unaambiwa kuwa you have successful completed your application,, sijaona sehemu ya ku submit application
 
Sep 25, 2018
10
45

Click View Application Report "Tab" hapo utaona summary ya maombi yako, hiyo ni kiashiria kuwa imekwenda. pia kama utaweza kuview document zako kutokea kwenye browser(Click Attachment Panel) pia ni ishara kuwa umefanikiwa kuapload.

@ Manyuc
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom