Kuhusu Nishati ya umeme haya ndiyo yaliyoahidiwa na CCM 2020-2025 Haitakiwi kushindikana!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Screenshot_20210410-082045_Office Mobile.jpg

Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii wanawasubiri kwa hamu sana mshindwe kuisimamia ilani ya CCM ili wawanyoe kwa chupa.

KWA HISANI YA WANACCM
 
Wako busy na Bogus Treaty mkuu ,,,mabepari wanaupiga mwingi sanaaa hapaa baada ya JPM kutoka.... pande linapigwa kwa Mangungo wa Msoveroo... sijui atafunga Au atapaisha safari hii

Au tutapata penati ya mwisho dakika za nyongeza... kwako Mwalimu Kashashaaa...
 
usiwe na wasiwasi mama kasema hii miradi ni urithi lazima imalizwe...

ila tunaomba mikataba ya hii miradi iende bungeni na Watanzania waisome...Huu wa bandari ya Bagamoyo nao muuweke hadharani tuusome ili tujue mbivu na mbichi...
 
Wako busy na Bogus Treaty mkuu ,,,mabepari wanaupiga mwingi sanaaa hapaa baada ya JPM kutoka.... pande linapigwa kwa Mangungo wa Msoveroo... sijui atafunga Au atapaisha safari hii

Au tutapata penati ya mwisho dakika za nyongeza... kwako Mwalimu Kashashaaa...
Wataelewa tu
 
View attachment 1748103
Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii wanawasubiri kwa hamu sana mshindwe kuisimamia ilani ya CCM ili wawanyoe kwa chupa.

KWA HISANI YA WANACCM
Inasikitisha baadhi ya wabunge wa CCM pamoja na Spika wao wanahoji utekelezwaji wa Ilani ya chama chao. Ilani iliyowaweka madarakani...

Niliona Mh. Polepole hapo jana aliwakumbusha umuhimu wa "nidhamu" hilo neno lina maana ndefu sana....
 
View attachment 1748103
Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii wanawasubiri kwa hamu sana mshindwe kuisimamia ilani ya CCM ili wawanyoe kwa chupa.

KWA HISANI YA WANACCM
Unatembea na kitabu cha ilani kama lugola kisha unanunua mandege yanatia hasara make nn?
Unatembea na kitabu cha ilani kisha unaanzisha mamiradi upembuzi yakinifu ya mwaka 1970 unaakili wewe kweli?
Kabla ya kuwajingisha wajinga wenzio watembee na mavitabu msikilize kwanza prof. Muhongo!
Kamfufue
 
Write your reply...
Huyo profesa anayesema dunia ya sasa ni GESI tu kwa nishtiATUPISHE labda huko inauzwaje maana hapa ni nusu dola kwa uniti moja. Kwa nini tusipate huo UMEME rahisi wa kutokana na maji? Tusikubali ya profesa tuendelee kujenga bwawa ambalo limeshakamilika kwa kiasi cha 50% . HAWA WATU HAWA!
 
Mbona matumizi ya LNG kutoka Ntwara kuanza kuweka miundo mbinu itumike majumbani haizungumziwi kabisa au kuzidi kufungua vituo vya kujaza gas kwenye magari hapa Jijini Dar-es-salaam kuna kituo kimoja tuu kwa zaidi ya miaka mitano!
 
Back
Top Bottom