Wakuu mna-connect vipi kwenye pc, nimejaribu kutumia join air na connection manager nyingine lakini sipati kabisa signal. Au nahitaji kutumia universal modem. Nyie mnatumia modem gani ?
hizi modem kama ni huawei haziwezi kufanya kazi na joinair mkuu wangu. Join air wanafanya kazi za zte tu.
Huawei mara nyingi inapiga mzigo na dashboard za Mobile partner.