Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,414
Baada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti wanapromote huu mtandao basi nikanunua ili nijiunge maana walisema wanatoa unlimited internet....
nimefika ghetto nimeweka line kwa kweli iko na spidi ya kuridhisha atleast kwa kuanzia sina malalamiko, ila kwa wenyeji wa huu mtandao tupeni tathmini yenu hasa amabo mko dar vipi huu mtandao unapiga kazi ama tuendelee kusubiri