Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

sasa huku Ikungulyabashashi nitapata line zao wapi?? nitumie basi line zao!

wapigie hii simu customer service; 0798 798798 watakwambia wakala wa karibu au vijana wao wa karibu mtaelewana akuletee wapi
 
Nikiona unlimited tu, moyo unaenda resi. Wekeni hata hyo 4G basi. Voda kwaheri na wajanja night yenu.
 
Nikiona unlimited tu, moyo unaenda resi. Wekeni hata hyo 4G basi. Voda kwaheri na wajanja night yenu.

mkuu mi nahisi wangeanza na 3G kwanza ndo waende hiyo 4G kwa sababu simu nyingi na modem nyingi kwa hapa Tz bado hazisupport network ya LTE
 
Umesoma contents za muanzisha mada?
Mbona kaweka link uone bundle zao

Kweli mkuu, naona nilifanya haraka!

Lakini mbona hivyo vifurushi vyao vya data vya mwezi naona havina unafuu wowote, ukilinganisha na voda?
 
Back
Top Bottom