kipya kinyemi
Mkuu upo serious au unatuchekesha tu
2 Megapixel mbona ni vipimo vya Camera na vitu kama hivo
Au ulimaanisha 2Megabits/sec
sasa vocha zao zinapatikana wap
mi nataka kujua kwa wiki na mwezi bando zao ni bei gani na ni kubwa kiasi gani
Vipi kwa moshi au arusha?
yaah!! hata mm niliwapigia huduma kwa wateja wakasema hawana 3G hapa mjini Koz wanatakaa kuweka 4G lakini nilipowauliza kuhusu lini watakuwa wanapatikana kwa 4G hawakunipa muda sahihi zaidi ya hivi pundee..!!!Nlisikia Dar wana mpango wa kuweka 4G ndio maana hawajaweka 3G...
Kama una experience na umeujaribu huu mtandao ambao ni mpya machoni kwetu wengi wetu waweza kutumia labda unaweza kuwa BACKUP ya hali ngumu iliopo sasa kwa HEAVY INTERNET users but with empty pockets
Bundle zao pitia link chini
Bundles & Packages - Smart - Lets Talk
Nisaidie maana mimi ni mvivu wa kufikiri...Eti 079 si ni code ya Benson Informatics??? Je Smile ni mtandao mpya au Jina jipya?
Nisaidie maana mimi ni mvivu wa kufikiri...Eti 079 si ni code ya Benson Informatics??? Je Smile ni mtandao mpya au Jina jipya?
Nahisi wameuza rights maana hata sim cards zao zimeandikwa BOL, halafu tunaambiwa hawa ni Agakhan foundation.
Basi kuna mtu alisema kua BOL wameuzwa kwa Aghakhan foundation
Rejea thread: Kuhusu Mtandao wa BOL
Kuuliza sio ujinga. Hivi line zao zitatumika kupiga simu??
Mtandao uko poa mkuu.. Line zake zinasoma kwenye unlocked hilink modem(voda) au hata kwenye sim then ukafanya kushare hotspot. Niko dar so nakamata 2G tu nashindwa kuutumia vilivyo.Ila nina ndugu yupo mbeya wao wanakamata 3G na HSDPA. Kwa bundle ya unlimited 24hrs ya tshs1000 anaweza kushusha hadi 20GB. So uko vizuri kwa kuanzia...
Inaweza ikasoma kwenye simu zenye ziko locked toka usa??
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums