KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,182
Najua akili yako ulishaielekeza sehemu moja na kuifanya kama 'robot' lililokuwa programmed kufanya kitu kimoja tu, ndio maana hata mradi niliokusaidia ukamweleze aufanye unaona ni 'roho mbaya' tu!Roho mbaya tu
Rais hatengi pesa kama mafungu ya nyanya,hiyo miradi ya kawaida tu mnajitahidi kuifanya ionekane imependelewa,je akifuata utumbo wako si mtaandamana