Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

Ajax wameifunga Chelsea yenye wachezaji 11 na kocha wao akiwa anaangalia mchezo ila Chelsea wamerudisha magoli kwa Ajax yenye wachezaji 9,tatizo refa alibeti ila Chelsea alikuwa anakufa mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Manyuu mnapata Tabuu
 
Chelsea wameifunga team ya watu nane.. [emoji23][emoji23]
halafu wanajigamba.. tena ilibidi washinde kabisaa.
Kama Ajax wangebaki vile vile 11 Chelsea wangekuwa wanalia sasa hivi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manyuu wanaweza kupiga come bak kama hiyo?
Mwaka 1999 dk za nyongeza dunia ilibaki kinywa wazi baada ya Bayern kupigwa goli mbili na man utd kubeba ndio ya uefa best come back ever,
 
Back
Top Bottom