Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 857 Reaction score 2,289 Jan 31, 2024 #1 Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie. Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend. Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,131 Jan 31, 2024 #2 mmh Mbudya hakuna maajabu nenda nae tu
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,351 Jan 31, 2024 #3 Hivyo Visiwa Huwa Navipita Nikienda Zanzibar Muhimu Nendeni Wote Mkapande Boti Msasani Chap Chap