Kuhusu mauaji Kibiti, polisi mulikeni Kilungule Mbagala mwisho

Ungeweka na ushaidi isiwe umetumwa na kanisa,,,furaha yako we mpumbavu ni hayo matukio kuhusishwa na uislamu? ??? Ivi unadhani ikifikia huko unavyotaka wewe unadhani kuna atakae baki salama???? Mnataka kuleta mambo ya huko Somalia yaje kwetu nyi wapumbavu wachache,,

Naona hapo unaomba serikali itangaze vita na uislamu kwa kudhani ndo itakuwa suluisho ya hayo yanayotokea huko mkoa pwani, ,,,,, Hao wapuuzi wachache wanaowaua watu wasio na hatia ni wahalifu km wahalifu wengine, hawahusiani na DINI, , kwa maana wanawaua pia hadi wale wa imani yao ,,
Na wewe umeongeza upumbavu kwa kutaja kanisa
 
Mi nakubaliana na wewe....asilimia kadhaa kwani siamini kama wapangaji wa mauaji wanakaa kule porini wenyewe wapo mahala ....tena mjini na usikute hata humu jf wapo na wanachat
 
Does killing people solve a problem? If so, there could be peace in the middle east right now but the opposite is true. Secondly, appearing to be happy when a less concerned person is killed is just a form of insanity. No justification at all.

Killing people doesn't help anything,as i mentioned it is obvious when you push man to the wall thats how he reacted..,The way our security enforcement tackle the matter is completely wrong,it is like pouring a petrol on fire...

I am telling this killing will be escalated if the security enforcement doesn't use psychological warfare
 
Mtoa mada huna akili..... Hao Waislam kwanini wawaue Viongozi wa CCM na wale wa Serikali??

Hakuna msikiti wanaoweza kushangilia mauaji..... Kwanza maana ya neno "Islam" ni amani..
Mkuu punguza hasira bila kukubali kuwa kuna tatizo mahala jambo hili halitaisha ..ugomvi waweza kuwapo kati ya kikundi flan kinachotumia uislam kufanya mauaji dhidi ya serikali
Mfano Afghanistan wanaouliwa sio wakristo ni waislam hivyo sio ajabu kukuta kundi linatumia kivuli cha dini kufanya mauaji.
Tatizo tulilonalo waislam baadhi hatutaki uislam utajwe Mimi nadhani tungejikita zaidi kuhakikisha wote wanaotaka kuitumia dini yetu ya haki kufikia malengo yao tuwapige vita.

Hata Kule Uganda lipo kundi LRA (Lord Resistance Army) linatumia ukristo kama njia ya kufikia malengo yao kisiasa japo haliendani na misingi ya Kikristo,kama wakristo wa Uganda wangekuwa kama sisi huku basis kundi hili lingekuwa na nguvu sana.
Lakini kwa kuwa wamelikataa linaelekea kutoweka kabisa.
 
Kutokana na mauaji yanayoendelea mkoa wa Pwani, nimejitolea kwa dhati kabisa kuwatonya polisi kwa manufaa ya watanzania wenzangu.

Kutokana na uchunguzi wangu binafsi nimegundua kila yanapotokea mauaji kibiti, Ikwiriri na Rufiji kesho yake.

Maeneo ya Mbagala mwisho Kilungule karibu na msikiti wa Suni kuna watu hukusanyika kushangilia mauaji hayo.!!!

Kwa taarifa rasmi ni kwamba hata chanzo cha mauaji ya watu huko Kibiti ilikuwa ni baada ya msikiti wa Suni kufungwa baada ya viongozi kutilia shaka mafundisho yake kwa vijana.

Mafundisho yao yalikuwa yamejaa kuwatisha vijana wasimame imara kutetea dini yao baada ya dhuluma kukithiri. Baada ya hapo kulifuatiwa na kuvamiwa kwa vituo vya polisi hali iliyopelekea kukamatwa kwa baadhi ya wafuasi wa suni na kufungwa kwa msikiti huo.

Hivyo ni vyema polisi wakachunguza huu msikiti wa suni unaopatikana huku kilungule, huenda waumini waliofukuzwa Kibiti wamekuja kukusanyika huku na ndio maana wanashangilia mauaji. Bila shaka mipango na ufadhili wa mauaji huko kibiti inaanzia hapa Kilungule.
Uchochezi huu
 
Ni vizuri lakini naona kama umelenga waisilamu, kitu ambacho huna uhakika nacho na hata kama ni ukweli hapa maanake ushawapa taarifa wahusika maana watajua kuwa wanaelekea kujulikana hivyo watabadiri utaratibu, hii inakuwa kama ile ya Gavana kutangaza hadharani watu alio washuku kuwa ma xrag diller
 
Tutafute namna sahihi za kutatua haya mauwaji ya kibiti ila kuhusisha imani za watu moja moja tena hadharani namna hii. Sidhani kama ni busara shutuma za namna hii yafaa kuzifikisha kwa usiri kwenye vyombo vyetu vya dola na si hivi ulivyofanya maana kila mtu anauelewa wake hasa kwenye imani za kidini.
 
Kutokana na mauaji yanayoendelea mkoa wa Pwani, nimejitolea kwa dhati kabisa kuwatonya polisi kwa manufaa ya watanzania wenzangu.

Kutokana na uchunguzi wangu binafsi nimegundua kila yanapotokea mauaji kibiti, Ikwiriri na Rufiji kesho yake.

Maeneo ya Mbagala mwisho Kilungule karibu na msikiti wa Suni kuna watu hukusanyika kushangilia mauaji hayo.!!!

Kwa taarifa rasmi ni kwamba hata chanzo cha mauaji ya watu huko Kibiti ilikuwa ni baada ya msikiti wa Suni kufungwa baada ya viongozi kutilia shaka mafundisho yake kwa vijana.

Mafundisho yao yalikuwa yamejaa kuwatisha vijana wasimame imara kutetea dini yao baada ya dhuluma kukithiri. Baada ya hapo kulifuatiwa na kuvamiwa kwa vituo vya polisi hali iliyopelekea kukamatwa kwa baadhi ya wafuasi wa suni na kufungwa kwa msikiti huo.

Hivyo ni vyema polisi wakachunguza huu msikiti wa suni unaopatikana huku kilungule, huenda waumini waliofukuzwa Kibiti wamekuja kukusanyika huku na ndio maana wanashangilia mauaji. Bila shaka mipango na ufadhili wa mauaji huko kibiti inaanzia hapa Kilungule.
Unahisi mpaka unaleta hoja yako hapa, polisi hawajafanya uchunguzi wao tangu mauaji yaanze..?
kwanini msikiti wa suni na sio wa mtoro..?
kwa nini waumini wa kiislamu wa msikiti ule..?
 
Walipo Peleka Jeshi kupiga watu Mtwara na ili kujenga bomba la gesi....Je wanajua sababu

Sasa iko wapi faida ya Gesi? Umeme ghali

Hata Wameshindwa kumpa Dangote gesi ya bei rahisi ili wananchi wapate Cementi bei nafuu wajenge

Eti nchi ya Vi wonder
Huu uharo wako unahusiana vipi na kichwa cha Habari. Madudu mengine bwana
 
Walipo Peleka Jeshi kupiga watu Mtwara na ili kujenga bomba la gesi....Je wanajua sababu

Sasa iko wapi faida ya Gesi? Umeme ghali

Hata Wameshindwa kumpa Dangote gesi ya bei rahisi ili wananchi wapate Cementi bei nafuu wajenge

Eti nchi ya Vi wonder
Kuwa makini sana kwenye mambo ya kibiti usije kupatashida badae,unafurahia watu wanavyo uwawa kibiti?Take care
 
NIKO KINGUGI HAPA WACHA NIPANDISHE KILUNGULE NIKAUONE HUO MSIKITI WA SUNNI
 
Back
Top Bottom