Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,153
- 10,829
Kutokana na mauaji yanayoendelea mkoa wa Pwani, nimejitolea kwa dhati kabisa kuwatonya polisi kwa manufaa ya watanzania wenzangu.
Kutokana na uchunguzi wangu binafsi nimegundua kila yanapotokea mauaji kibiti, Ikwiriri na Rufiji kesho yake.
Maeneo ya Mbagala mwisho Kilungule karibu na msikiti wa Suni kuna watu hukusanyika kushangilia mauaji hayo.!!!
Kwa taarifa rasmi ni kwamba hata chanzo cha mauaji ya watu huko Kibiti ilikuwa ni baada ya msikiti wa Suni kufungwa baada ya viongozi kutilia shaka mafundisho yake kwa vijana.
Mafundisho yao yalikuwa yamejaa kuwatisha vijana wasimame imara kutetea dini yao baada ya dhuluma kukithiri. Baada ya hapo kulifuatiwa na kuvamiwa kwa vituo vya polisi hali iliyopelekea kukamatwa kwa baadhi ya wafuasi wa suni na kufungwa kwa msikiti huo.
Hivyo ni vyema polisi wakachunguza huu msikiti wa suni unaopatikana huku kilungule, huenda waumini waliofukuzwa Kibiti wamekuja kukusanyika huku na ndio maana wanashangilia mauaji. Bila shaka mipango na ufadhili wa mauaji huko kibiti inaanzia hapa Kilungule.