Mkuu inawezekana ikawa kila agent ana bei yake. Kwani yeye huwa anakutajia bei ya kodi tu? yeye hataki kulipwa kwa huduma yake?Na sijui Agent mwaminifi ni yupi make hata ghalama zingine kuacha kodi ni za kupandikiza na ukitaka kujua hilo wewe fanya mawasiliano na Agent zaidi ya wawili, kila mmoja anakuja na ghalama tofauti za Bandalini, utazani kila agent anatozwa ghalama tofauti
Pia kila mtu na ujanja wake bandarini, wengine wao they dont declare the real quantity of items na wanapenya fresh.
Go for a cheap price, you expose yourself to risks.....