Kama mnakumbuka hata nacte walikwishatoa tangazo kusema kuwa wamesitisha kupokea maombi ya wanaotaka kwenda degree lkn kwa kpnd kile wanaoruhusiwa kuomba ni wale wanahitaji kujiunga kwa ajili ya cheti na diploma ingawaje waliruhusu hapo walipofungua mfumo alafu ghafla wakasitisha kwa upande huo na kuwataka wanaohitaji degree wasubiri mpaka pale kidato cha sita wa mwaka huu watakapotolewa matokeo yao nao wataruhusiwa kuomba lkn ndo kama hivyo kabla matokeo hayajatoka tayari utaratibu mpya ushatangazwa kwa hiyo mnaolalamika mliomba kupitia nacte na kwa ajili ya degree usiwe na wasi wasi kwani bado hata hao form six nao hawajaruhusiwa kuomba may be utartibu mwingine utatangazwa kwani nachoamini nacte wapo kisheria nao wana nafasi yao ktka udahili ila nadhani kwa mimi nilivyoelewa khs huo utaratbu wa tcu uliotoka ni kwamba form six watakaomaliza kuanzia mwaka huu watatakiwa kutuma maombi ya kujiunga vyuo vikuu nchini kupitia tcu na sio nacte
Nawasilisha