Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

jponcian

Member
Oct 2, 2011
65
24
Wadau naombeni kuuliza kwa wale walioomba mikopo bodi ya mikopo, mkiingia kwenye akaunti zenu mnakuta mmeandikiwa nini? Mi nimewaangalizia watu wawili nakuta wameandikiwa hawakuomba mkopo kwa mwaka huu! Na wakati wameomba na fomu za maombi wakatuma kwa ems kama bodi walivyoelekeza. Nyie mnaona nini kwenye akaunti zenu?
Natanguliza shukrani.
 
Majina yawaliopata mikopo yametoka angalia kwenye profile yako kwa juu kuna back ground nyekundu na kuna maandishi hapo yatakuonyesha kama upo eligible au la!!?
 
dah na kwangu pia imeandika hivyo "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
 
Lkn sometimes hawa ni wajinga mtu anawezaje kuingia kwenge system yao bila kuomba hebu na wengine jaribuni kuingia mlete feedback hapa
 
Back
Top Bottom