Mimi pia nimekuta ivoivoIcho ni kitu ambacho nmekikuta asee ..sjaongeza wala sjapunguza kitu.
ila mna haraka sana majina si yatatolewa ya waliopata mbona mna haraka bandugu then lazima uambiwe hujapata mkopo kwani kuna aliyepata hadi upeweMimi pia nimekuta ivoivo
You have not secured loan
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu sasa nimekwama kwenye security code sikumbuki kama nilipewa kwenye cafeKuingia kwenye profile zenu za HESLB, ingia www.olas.heslb.go.tz. Kisha ingia 'Applicat's Loan Status'.
Kisha ingiza index namba yako ya form four. Halafu ingiza passworsds (ambazo ni herufi mchanganyiko zinazoonekana kwa kwa chini kidogo ya kibox cha kuweka passwords.
Hapo utakuta details zako i.e Jina lako, Chuo ulichochaguliwa, Course utakayosoma, Mwaka wa masomo na Loan Status yako ikiwa kama umepata au la.
Umeangalizia WAP manTeh teh na mm et U DID NOT APPLY UWIIII HII SERIKALI BHANA
Umenena vyema mkuu, nadhani system haijakaa vizuri ndo maana tunakutana na sintofahamu hizo. Ngoja tusubiri pengine heslb wanaweza kutolea majibu.Kuweni na subra watanzania. Japokuwa ni dhahiri kuna mkanganyiko unajitokeza unapo log in kwenye profile yako.
Kwamfano; nilipotumiwa username na passwords Applicant na kulog in, nikakuta kitu cha ajabu. Ajabu yenyewe ni kwamba, Applicant anaonekana fomu yake haikukamilishwa kujaza ilhali huwezi kuprint fomu mpaka iwe imekamilika.
Ambapo details zinaonesha hakumaliza details za mdhamini, preliminary information na hatua zote za mwisho.
Ajabu ya pili, after a while nikalog in tena. Nikakuta fomu yake haina shida, imekamilika kama ilivyojazwa awali. Lakini inasema "You did not Applied for Loan 2016/2017 academic year"!
Na ajabu ya tatu, ili kujiridhisha nikatazama kwa mara ya tatu. hapa sasa imeleta " You have not Secured Loan." Status hii haioneshi chuo wala course alopangiwa kusoma japokuwa chuo amepata.
Sasa huwenda process nzima haijakamilika, ama vyuo/TCU haijakailisha kutuma majina ya wanafunzi walochaguliwa vyuoni.
Vuteni subra.
Hiyo code IPO chini Harpo Anglia vizuriSawa mkuu sasa nimekwama kwenye security code sikumbuki kama nilipewa kwenye cafe
Wewe tuMbona ni kila mtu anaandikiwa hivyo sasa
Heeeee hata mi nimeandikiwa hivyodah "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
Asante mkuu eti naambiwa sikuomba
Fuatilia nyuzi za juukwni washatoa majina
Mana nmejaribu kuingia inagomaHaujui kweli? Au unazngua tu
Successfully ndiyo nini? Jieleze vizuri mkuu. Unataka kuvuruga profikes za watu?Kuna mtu nimemchekia ameandikiwa succefully