Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 1,130
- 2,219
Duh salaaaaleSamia bond ni sehemu ya kufichia pesa walizo iba, mki wauliza wata kwambia ni uwekezaji wa watu
Duh salaaaaleSamia bond ni sehemu ya kufichia pesa walizo iba, mki wauliza wata kwambia ni uwekezaji wa watu
Sasa itakuwajeHakuna pesa nyepesi hivyo kutoka benki
Bora hilo gawio lingekuwepo sasa..Hakuna riba za 13% kwa miezi mitatu nchi hii.
Hiyo 13% ni ya mwaka.
Labda useme mliambiwa mtakuwa mnapewa gawio la pesa yako kila baada ya miezi 3, ila ujue 13% ya pesa huongezeka baada ya mwaka.
Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu.
Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%.
Mpaka leo sijawekewa gawio langu na tayari imepita miezi mitatu.
Ninaiomba CRDB itujibu na kama haiwezekani basi wanirudishie fedha zangu nizielekeze mahali panapoweza kuzalisha faida zaidi kama biashara.
Hii ni taarifa ya mwisho baada ya hapa natarajia kuwachukulia hatua CRD
nenda bank Moja kwa Moja, uta pata maelekezo.
halafu why u risk kuwekeza kwenye mfuko ulio pewa hype ya ghafla, ikiwa Kuna sehemu nyingine zilizo salama.
Nishawahi kudharirika hivi hivi nikajiona kama kijimbwa cha mapambo ,hivi hivi kukurupuka kurupuka nikaingia kwenye maofisi ya watu jazba limenipanda mishipa ya shingo imedisa kama nimepakwa mkongo ,kilichofuata aibu yanguNinawashukuru kwa kunielewesha. Ni kweli asilimia 13% ni kwa mwaka. Hivyo asilimia 13% kwa mwaka inapaswa igawanywe kwa 4 ili ikupe gawio la kila miezi mitatu.
HIvi nyinyi marketing officers mkisha kulaga hizo laki 3 kwa mwezi, huwa mna ona watu ni wajinga namna hiyo?Mkuu usiwapo hofu wadau. Samia bond ni bond halali na ipo katika soko la hisa. Hivyo unaweza kuuza au kununua samia bond
Katika tovuti yao, malipo yanaanza leo na kuendelea kama ifuatavyo (
10th May, 10th August, 10th November and
10th February each year up to and
including the Maturity Date.)
Hivyo msiwe na hofu wakuu. Pesa ikiingia leo mtupe mrejesho.
Maelezo zaidi
https://crdbbank.co.tz/storage/app/...nglish Version - FINAL APPROVED BY CMSA-1.pdf
Tuliza akili mkuu, hide your stupidity usidhalilikeHIvi nyinyi marketing officers mkisha kulaga hizo laki 3 kwa mwezi, huwa mna ona watu ni wajinga namna hiyo?
ukisha Anza matusi, basi una poteza haki zote za msingi za kuonekana una akili timamu.Tuliza akili mkuu, hide your stupidity usidhalilike
1. Wewe nani kakwambia mimi ni marketing officer ?
2. Una uhakika natengeneza laki 3 kwa mwezi ?
3. Kuna shida gani kwenye maelezo niliomsaidia ndugu yangu ?
Ungenijibu maswali yangu tungeweza kujua nani ana akili timamu. Anyways nimetulia Mr Intellligentukisha Anza matusi, basi una poteza haki zote za msingi za kuonekana una akili timamu.
Me sitaki kufanya biashara ya hisa nataka kutoa changu tu. Kwani mmevunja mkataba wa gawio la kila quarterMkuu usiwapo hofu wadau. Samia bond ni bond halali na ipo katika soko la hisa. Hivyo unaweza kuuza au kununua samia bond
Katika tovuti yao, malipo yanaanza leo na kuendelea kama ifuatavyo (
10th May, 10th August, 10th November and
10th February each year up to and
including the Maturity Date.)
Hivyo msiwe na hofu wakuu. Pesa ikiingia leo mtupe mrejesho.
Maelezo zaidi
https://crdbbank.co.tz/storage/app/...nglish Version - FINAL APPROVED BY CMSA-1.pdf
Ukitaka kutoa chako maana yake ni wewe kuuza bond yako ya Samia kwa mtu anaehitaji. Hii inafanyika kupitia soko la hisa la Dar (DSE)Me sitaki kufanya biashara ya hisa nataka kutoa changu tu.
Nahitaji cash sihitaji kuanza kufanya biashara ndio maana nimehifadhi humu ningetaka biashara si ningeenda kariakoo!? Ile faida ya baada ya miezi mitatu nilikuwa na kazi nayo naona wadau wako kimya as if nothing happened sasa si bora waturudishie ambazo hawana matumizi nazoUkitaka kutoa chako maana yake ni wewe kuuza bond yako ya Samia kwa mtu anaehitaji. Hii inafanyika kupitia soko la hisa la Dar (DSE)
Mauzo katika DSE yanapitia brokers(madalali) waliosajiliwa na wapo katika tovuti ya DSE. Wacheki mmoja wapo kisha watakupa maelezo ya nini ufanya + kamisheni zao zikoje
Mkuu sasa naona tunashindwa kuelewana. Najaribu kukusaidia namna ya kupata pesa zako. Bonds & Shares sio biashara ya mtaani useme utapewa pesa yako unapohitaji. ina taratibu zakeNahitaji cash sihitaji kuanza kufanya biashara ndio maana nimehifadhi humu ningetaka biashara si ningeenda kariakoo!? Ile faida ya baada ya miezi mitatu nilikuwa na kazi nayo naona wadau wako kimya as if nothing happened sasa si bora waturudishie ambazo hawana matumizi nazo
Mkuu hata mimi niliweka mwezi huo huo sema siweki tarehe kwa sababu za kiprivacy, bora hata wangetoa taarifa kwamba pesa zimekuwa nyingi mno hatuna matumizi nazo hivyo zilizozidi tunazirudisha, ila naona wako kimya faida hawatoi na muda unazidi kwenda imagine miaka mitano unaweka bondi 100M mwisho wa siku unaikuta kama ilivyo, ni bora kama wameshindwa kuzalisha turejeshewe principle kama ilivyo mapema tufanyie vitu vingine kuna ujenzi, uwekezaji mwingine etc,Kwenye Mama Samia Bond ukiweka 100M unatakiwa baada ya miezi mitatu unawekewa kwenye akaunti yako 3M na hivyo kwa mwaka ni 12M. Wengine tuliweka tarehe 2 January, 2025 na hivyo ningepata gawio langu la kwanza 2 Aprili, 2025. Tuliamini Benki yetu na Serikali yetu ya Mama ni sehemu salama. Hivyo tunaomba watuwekee gawio kwenye akaunti zetu.
CRDB walisema tarehe rasmi ya bond kufahamika kihalali ni 10 February. Haikujalisha ulinunua lini. Miezi 3 ni leo 10 MayKwenye Mama Samia Bond ukiweka 100M unatakiwa baada ya miezi mitatu unawekewa kwenye akaunti yako 3M na hivyo kwa mwaka ni 12M. Wengine tuliweka tarehe 2 January, 2025 na hivyo ningepata gawio langu la kwanza 2 Aprili, 2025. Tuliamini Benki yetu na Serikali yetu ya Mama ni sehemu salama. Hivyo tunaomba watuwekee gawio kwenye akaunti zetu.
Sawa marketing officer J3 sio mbali usitengue kauli tu(usihamishe goal post)Mkuu sasa naona tunashindwa kuelewana. Najaribu kukusaidia namna ya kupata pesa zako. Bonds & Shares sio biashara ya mtaani useme utapewa pesa yako unapohitaji. ina taratibu zake
CRDB walisema tarehe rasmi ya bond kufahamika kihalali ni 10 February. Haikujalisha ulinunua lini.
Miezi 3 ni leo 10 May. Leo ikipita hujapata pesa yako, J3 wafate CRDB
Ni muhimu muwe mnasoma na kuelewa hivi vitu kabla ya kufanya maamuzi