Ha ha. Sio marketing officer mkuu. Taarifa zipo mtandaoni na leo nina mda kiasiSawa marketing officer J3 sio mbali usitengue kauli tu(usihamishe goal post)
Ukifanya utafiti kidogo majibu yote yapo
Ha ha. Sio marketing officer mkuu. Taarifa zipo mtandaoni na leo nina mda kiasiSawa marketing officer J3 sio mbali usitengue kauli tu(usihamishe goal post)
Sasa kwanini usiende crdb ukapewe jibu la uhakika kuliko kuja hapa,huu ni ukosefu wa busara ama sio kweli wewe umewekeza kwenye hizo bondTulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu.
Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%.
Mpaka leo sijawekewa gawio langu na tayari imepita miezi mitatu.
Ninaiomba CRDB itujibu na kama haiwezekani basi wanirudishie fedha zangu nizielekeze mahali panapoweza kuzalisha faida zaidi kama biashara.
Hii ni taarifa ya mwisho baada ya hapa natarajia kuwachukulia hatua CRDB.
Naomba nitengue kauli naona mama katisha huku basi samia bond gawio limetoka.Ha ha. Sio marketing officer mkuu. Taarifa zipo mtandaoni na leo nina mda kiasi
Ukifanya utafiti kidogo majibu yote yapo