Wana moyo hao wanawake mi siwezi..... Nishakataaga hiyo ofa ya hovyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yajayo yanafurahishaUkipata zaidi ya mmoja. Wengine waelekeze waje kwangu.
Nimeshaanda yafuatayo.
1. Free visa ya Uk
2. Free meals and accomodation for four years.
3. Free air tickets
4. Social security fund kwa mama na mtoto.
5. UK Residence permit ya miaka 5
Resposibility za mwanamke.
Kuzaa watoto wasiozidi wa wawili ndani ya miaka miwili.
NB
ukipata zaidi ya mmoja.
Mtoto anaruhusiwa kuachanishwa na mama yake akifikisha miaka 7. Miwili bado sana kwa sheria zetu. Huyo mwanamke mimba utamweka kwa kalala naye au kwa kupandikiza? Maana ukilala naye utakuwa umepata raha ambayo haiko kwenye makubalianoHabari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka miwili niendelee na malezi mwenyewe.
Kinaweza kikawa ni kitu kigeni hasa kwa tamaduni zetu za Kitanzania,Lakini nimeona nifanye hivyo maana naona umri unazidi kwenda na hamu ya kukaa na mwanamke inazidi kuisha.
Kuna X wangu mmoja baada ya kumuundia zengwe la uongo nikamuacha japo hataki kuachika,Amesema yuko tiyari kunizalia ili abaki na copy yangu,Ila kwa jinsi alivyo king'ang'anizi nimeona anaweza kuniletea balaa hapo mbeleni baada ya kujifungua kwa hiyo nimegoma kuzaa nae.
Ndugu zangu mambo ni mengi mda mchache,baada ya kukaa kwa mda mrefu nikaona nitumie hii njia kwa kujua kuna wasichana ambao kama nilivyo mimi hawapendi kuishi kwenye familia japo wanapenda kuwa na watoto.
Kama atajitokeza humu jukwaani,Lazima tupime afya zetu na nitakuwa tiyari kutoa kiasi kitakachowezekani kila mwezi kwa huo mda wa miaka miwili.
Natanguliza shukrani na maoni au michango kwa wale ambao walishawahi kufanya kitu kama hiki.
Hahahahahahaha kama nawaona wazembe wanaenda pm kwake hahahhahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yajayo yanafurahisha
Mtoto anaruhusiwa kuachanishwa na mama yake akifikisha miaka 7. Miwili bado sana kwa sheria zetu. Huyo mwanamke mimba utamweka kwa kalala naye au kwa kupandikiza? Maana ukilala naye utakuwa umepata raha ambayo haiko kwenye makubaliano
Tukienda hivyo tunakuwa tunaenda nje kabisa ya lengo la makubaliano,yeye anapata mtoto nami napata mtoto pia! Hizo raha nyingine zinajuliakana,na hata hivyo kama ni raha tunapata wote...anyway hiyo ni nje ya mada!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo aanze kulipia zile raha kwanza
Zesh mcheat sponsor basAtakaekubali kuzaa na wewe ni fafafa[emoji57]
Tukienda hivyo tunakuwa tunaenda nje kabisa ya lengo la makubaliano,yeye anapata mtoto nami napata mtoto pia! Hizo raha nyingine zinajuliakana,na hata hivyo kama ni raha tunapata wote...anyway hiyo ni nje ya mada!!
Zesh mcheat sponsor bas
Usifanye mchezo na donge nono shost, watu wapo tayar kuuza figo sembuse kuzaa! Kuna mwingine pale juu kaahidi na RP ya Uk kwa nini tusichangamkie fursa eehHahahahahahaha kama nawaona wazembe wanaenda pm kwake hahahhahahahahaha
Kumbuka sio wote watakaokuja huko inbox wanania hiyo wengine watakuja kukusanifu tuu kwani kwa mateso ya mimba sizani kama kuna mwanamke anaweza kukubali kubebeshwa mimba kwa staili hiyo labda ya bahati mbayaNashukuru naona muitikio wa dada zangu inbox ni mzuri,tupo kwenye majadiliano na baadhi yako,Nipende kusema,Nimekuwa na wazo hili kwa miaka mingi hasa baada ya ndoa za sku hizo kutokueleweka na mambo mengine meng,Na nimefanya hivyo baada ya kukutana na baadhi ya wanawake wenye nia kama yangu.Ni jambo zuri lenye kuhitaji maelewano kati ya watu wawili.Nazidi kuwakaribisha pm ndugu zangu,Kingine hata baada ya kuchukua mtoto kutoka kwangu bado ataendelea kuwa mwanao tu.Asanteni
Wanaenda kumsanifuHahahahahahaha kama nawaona wazembe wanaenda pm kwake hahahhahahahahaha
Hahahahahahhahaha woooiiiUsifanye mchezo na donge nono shost, watu wapo tayar kuuza figo sembuse kuzaa! Kuna mwingine pale juu kaahidi na RP ya Uk kwa nini tusichangamkie fursa eeh
Yeah ni kweliSa si bora nimzalie huyo sponsor anaenipa nitakacho hahahahahaha kuliko hii
NAOMBA NAMBA YA EX WAKO...Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka miwili niendelee na malezi mwenyewe.
Kinaweza kikawa ni kitu kigeni hasa kwa tamaduni zetu za Kitanzania,Lakini nimeona nifanye hivyo maana naona umri unazidi kwenda na hamu ya kukaa na mwanamke inazidi kuisha.
Kuna X wangu mmoja baada ya kumuundia zengwe la uongo nikamuacha japo hataki kuachika,Amesema yuko tiyari kunizalia ili abaki na copy yangu,Ila kwa jinsi alivyo king'ang'anizi nimeona anaweza kuniletea balaa hapo mbeleni baada ya kujifungua kwa hiyo nimegoma kuzaa nae.
Ndugu zangu mambo ni mengi mda mchache,baada ya kukaa kwa mda mrefu nikaona nitumie hii njia kwa kujua kuna wasichana ambao kama nilivyo mimi hawapendi kuishi kwenye familia japo wanapenda kuwa na watoto.
Kama atajitokeza humu jukwaani,Lazima tupime afya zetu na nitakuwa tiyari kutoa kiasi kitakachowezekani kila mwezi kwa huo mda wa miaka miwili.
Natanguliza shukrani na maoni au michango kwa wale ambao walishawahi kufanya kitu kama hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yeah ni kweli
Wewe wasema inshort utakuwa na mke labda hazai ko unataka mkalee mtotoNakuwa nae kipindi cha hatari tu,baada ya hapo kila mtu anaendelea na maisha yake!
Mkuu umeongea vizuri sana,nina uwezo wa kutosha wa kuhakikisha mama wa mtoto wangu anaishi vizuri kwa kipindi chote miaka miwili pamoja na mtoto wanguwengi watajizungusha....mheshimiwa kasema haja yake kwa nia njema kabisa.....museme dau na mkayamalize PM.....fursa hiyo,,,, ukipewa 5k @ month x 24 months = 12m, hiyo ni take away......matunzo yote ni juu yake...wachilia mbali vichenchi vya lakilaki za kliniki.....si mkataba......atumbukize bank wala huzigusi......hahhahahaaaaa,,,, mabaharia wanawake boti hiyo inawahitaji