KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
456
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka miwili niendelee na malezi mwenyewe.
Kinaweza kikawa ni kitu kigeni hasa kwa tamaduni zetu za Kitanzania,Lakini nimeona nifanye hivyo maana naona umri unazidi kwenda na hamu ya kukaa na mwanamke inazidi kuisha.
Kuna X wangu mmoja baada ya kumuundia zengwe la uongo nikamuacha japo hataki kuachika,Amesema yuko tiyari kunizalia ili abaki na copy yangu,Ila kwa jinsi alivyo king'ang'anizi nimeona anaweza kuniletea balaa hapo mbeleni baada ya kujifungua kwa hiyo nimegoma kuzaa nae.
Ndugu zangu mambo ni mengi mda mchache,baada ya kukaa kwa mda mrefu nikaona nitumie hii njia kwa kujua kuna wasichana ambao kama nilivyo mimi hawapendi kuishi kwenye familia japo wanapenda kuwa na watoto.
Kama atajitokeza humu jukwaani,Lazima tupime afya zetu na nitakuwa tiyari kutoa kiasi kitakachowezekani kila mwezi kwa huo mda wa miaka miwili.
Natanguliza shukrani na maoni au michango kwa wale ambao walishawahi kufanya kitu kama hiki.
 
1
 
Ngoja waje...

Ila kama huna hamu ya kukaa na mwanamke utazaa nae vipi...

Sababu lile tendo la kutafuta mtoto lazima ukae nae...

Cc: mahondaw
 
Utamlipa sh. Ngapi kwa kazi hiyo siyo kitu kidogo hicho mtu kuweka roho rehani.
Nimesema hivyo kwa kuzingatia kuwa hata kama baada ya miaka miwili atanipa mtoto lakini hiyo bado haindoi ukweli kwamba ni mtoto wake,nitamlipa hela ya kumtosha kila mwezi...nasubili wa kuja PM
 
Utamlipa au Utanilipa shs Ngapi, ebu funguka vizuri Madam charrote kama uko tayari.
Madam anaogopa,hakuna kuweka roho rehani,kwani wanaozaa wote wanaweka roho rehani?
 
Utamlipa sh. Ngapi kwa kazi hiyo siyo kitu kidogo hicho mtu kuweka roho rehani.
kumbe kupata ujauzito ni kuweka roho rehani, na aliyeweka maji huko ndani ili apatikane mtoto atakuwa amefanyaje vile?
 
dah na mimi nikimpata wa kutunza mimba nitashukuru sana kwa mweizi sh 120,000 kutunza mimba
 
Ngoja aje mwanamke kwa gia hiyo halafu tuje kuona uzi wa kumuoa hapa hapa.
Japo kwa bahati mbaya wanawake hawana hulka ya kushirikiana kuunda kamati za roho mbaya kama sisi wanaume ili kuhakikisha jombaa anatengua hiyo kauli na kutangaza ndoa chap.
 
dah na mimi nikimpata wa kutunza mimba nitashukuru sana kwa mweizi sh 120,000 kutunza mimba
Mkuu tuko pamoja,hawa wanawake kukaa nao pasua kichwa...mi nimeandaa fungu nono kwa huyo mtu kila mwezi
 
Back
Top Bottom